Itovanilo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2018
- 2,314
- 5,150
Ngoja tuone ,naona mabeki wanapata wakati mgumu hawapumui kabisaBangala inabidi aingie licha ya tatizo la viungo mabeki nao wamepoteana, nadhani Kaseke hii mechi inamhusu kuliko hawa madogo wa pembeni.