Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu achana nae huyo muda huu hawezi kuja hapa maana anahemea mdomo ulimi njeMkuu ulivyokuwa unamkosoa Mbaga III kuwa hajui kuandika nilidhani wewe ni hodari kumbe hamna kitu...!
Subilia ndo Subiria au? Halafu herufi kubwa kama zote hata sehemu ambazo hazistahiki..!
Acheni hofu nyie 🐸🐸.. hamna wa kuwachomesha.Huyu Sure boy nahisi yupo kutuchomesha anapoteza pasi nyingi sana.
Ndio watambue marefa wanafanya kazi yao kwa usahihiIngezua mjadala
Hiki kikosi kikipelekwa michuano ya kimataifa kitaleta maafa na kilio kikuu sio Jangwani pekee bali nchi nzima itafedheeshwa. Litakuwa kapu la kuhifadhia magoli
Umewaza Kama Mimi mkuuHuyu Sure boy nahisi yupo kutuchomesha anapoteza pasi nyingi sana.
Kafundishwa hivyoHuyu zulu ana nini hapa na kipa aisee!
Hahaha kila mtu kaona kivyake.Penalty halali ile
Teh teh teh 😂😂😂 unatafuta ugomvi aisee....Hiki kikosi kikipelekwa michuano ya kimataifa kitaleta maafa na kilio kikuu sio Jangwani pekee bali nchi nzima itafedheeshwa. Litakuwa kapu la kuhifadhia magoli