Ngoja tuone ,naona mabeki wanapata wakati mgumu hawapumui kabisaBangala inabidi aingie licha ya tatizo la viungo mabeki nao wamepoteana, nadhani Kaseke hii mechi inamhusu kuliko hawa madogo wa pembeni.
Hii mechi tukishinda litakuwa jambo la kushukuru. Maana viungo wetu katikati wanakimbia kimbia tu muda mwingi, kiasi Mayele kule mbele anakosa kabisa mipira.Ni swala la mda ice cream 🍨 italambwa tu
Washashindwa,Azam hii game mshindwe wenyewe
Sisi kiungo Chetu ni Butu SAnaAzam hii game mshindwe wenyewe
Kaseke,kaseke, kasekeSisi kiungo Chetu ni Butu SAna
Mauya Anapenda back pass sana
Mkuu unaichambua mechi vilivyo,Hii mechi tukishinda litakuwa jambo la kushukuru. Maana viungo wetu katikati wanakimbia kimbia tu muda mwingi, kiasi Mayele kule mbele anakosa kabisa mipira.
Nitashangaa kama Zawadi Mauya ataachwa acheze dk 90! Hii mechi inawafaa mafundi kama Balama Mapinduzi. Mauya control ya mpira iko chini sana.
Hii mechi tukishinda litakuwa jambo la kushukuru. Maana viungo wetu katikati wanakimbia kimbia tu muda mwingi, kiasi Mayele kule mbele anakosa kabisa mipira.
Nitashangaa kama Zawadi Mauya ataachwa acheze dk 90! Hii mechi inawafaa mafundi kama Balama Mapinduzi. Mauya control ya mpira iko chini sana.
Penati ya pili hii refa anaikaushia.Penalty halali
Uphala wake?Refs fala SAna,
puliza kipengaPenati ya pili hii refa anaikaushia.
Labda muamala umesomaPenati ya pili hii refa anaikaushia.
Azam ni bora sanaHawa Azam Wanatukamia Sam
Na Ila ts a matter of Time
Wauchomoe tu huo mwiko huko nyuma ya Utopolo ili hata kama wakienda kimataifa watakuwa wamezoea kuchomolewa.Azam hii game mshindwe wenyewe