We unataka tufungwe sasa akitoka sureboy atacheza nani nafasi yake?? Bila ile card angemuuacha yule jamaa ile ilikua ni kamba kabisaProfesa awe makini na Sure Boy! Ameshakula kadi ya njano. Akimuacha mpaka mwisho, atapigwa kadi ya pili ya njano + red kadi!
Ni mwepesi wa kupaniki na kutoka nje ya mchezo.
Hawa Lamba² TunaoDakika 45 za kipindi Cha pili ,atakayefungwa kafungwa
[emoji23][emoji23]Hawa Lamba² Tunao
Sioni nafasi ya utopwist kuchomoka kwenye hili gemuDakika 45 za kipindi Cha pili ,atakayefungwa kafungwa
Ni mtazamo wako,tunaheshimuSioni nafasi ya utopwist kuchomoka kwenye hili gemu
Kweli kabisa azam watakua wamemuahidi refa kumpa unga,Michele,mafuta na maandazi maana Agrey Morris aliunawa kabisa mpira kwenye box akapetaSwala la vitu kupanda bei limerahisisha sana thamani ya marefa kushuka
Saizi saizi sio kama zamani yani kufanya mapatano na marefa sio pesa kubwa kama zamani
Saizi ukimuhakikishia kumpa unga baada ya mechi hachomoi
Bado anapiga pasi za kiwango tatizo no mauyaSure boy
A disappointment today
Angalia Kabumbu MzeeR.E.F.A
[emoji4][emoji4][emoji4]Nilikuwa najua una akili timamu kumbe nilikosea sana
Ulitaka atoe penati mumwite wa mchongo? Kachomoa ili muache kuwaita wa mchongo wanapotoa penati mechi za Simba.Kweli kabisa azam watakua wamemuahidi refa kumpa unga,Michele,mafuta na maandazi maana Agrey Morris aliunawa kabisa mpira kwenye box akapeta