Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Leo kutakuwa na Mtanange wa Kukata na Shoka kati Azam Fc na Yanga SC.
.
Wakuu mechi hii itaanza majira ya saa 2:15 usiku Uwanja wa Chamazi Complex.
.
Tunajua ugumu wa game hii ya leo Ukizingati timu hizi zinapokutana hupigwa mpira wa nguvu sana.
.
Azam FC ni Mwenyeji wa Mchezo wa Leo Dhidi ya Yanga.
.
Huku Team Ya Yanga ikiwakosa Wachezaji wake kama Feisal Salum, Bangala, Aucho nk.

======
KILA LA HERI TIMU YANGU YANGA KATIKA MCHEZO WA LEO

LETS GOOO YANGA
 
Jinsi ambavyo Utopolo wako busy na mechi ya Simba na Orlando huwezi amini kama wana mechi ya ligi ya mbuzi leo, mi kama vile NBC LEAGUE imemezwa na amsha-amsha za CAFCCL.
acha porojo ngoja mkatolewe mrudi bongo akili zimekaa sawa
 
Jifunze Kuandika Vzr then ndio Uje ufanye challenge na Mimi Mzee baba
Poleeeeee na makasiriko yako sio mm niliyesema ushabikie utopwinyo. Kuandika nako unaweza wewe au jazba tu kwendaaa baadae uwepo hapa utupe matokeo maana lazima mfirigiswe
 
Tembeeni na Meza Wazee Ile Meza Ni Hatari
Umekazania meza wakati ni swala ambalo liko chini ya maandalizi ya timu iliyopo nyumbani

Sasa kama hawana uwezo wa ku afford meza nzuri unafikiri aibu ni yetu?

Simba katoka dar na bus, humo kajaza wachezaji kwa ajili ya mechi hajabeba meza, meza wamezikuta huko huko
 
Poleeeeee na makasiriko yako sio mm niliyesema ushabikie utopwinyo. Kuandika nako unaweza wewe au jazba tu kwendaaa baadae uwepo hapa utupe matokeo maana lazima mfirigiswe
Wa Kwetu Punguza Kisugar [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Umekazania meza wakati ni swala ambalo liko chini ya maandalizi ya timu iliyopo nyumbani

Sasa kama hawana uwezo wa ku afford meza nzuri unafikiri aibu ni yetu?

Simba katoka dar na bus, humo kajaza wachezaji kwa ajili ya mechi hajabeba meza, meza wamezikuta huko huko
Karibu sa2:15 uangalie Mbugi Nzuri ya Vijanaa wa Jangwani Wa Kwetu.
 
Azam Piga hao utopwinga wapoteane waende kigamboni wakaogeleee utabili Azam 2 uto 1
 
Back
Top Bottom