Sir Carter
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 631
- 1,409
Hata sare hawapati mkuu...Kuna watu wanashida zao,wanataka wasaidiwe na Azam........Kila mtu apambane na hali yake..... Azam akijitahidi sana leo ataambulia sare tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata sare hawapati mkuu...Kuna watu wanashida zao,wanataka wasaidiwe na Azam........Kila mtu apambane na hali yake..... Azam akijitahidi sana leo ataambulia sare tu
Kitaani sidhani maana navyojua mchizi anauza softcopy kwa 15k na ndio system yake labda safari hii abadili
Kumkosa Aucho na Bangala pale nyuma, na Fei Toto kiungo cha mbele! Ni changamoto kiasi fulani. Ila naamini Profesa Nabi atakuja na Plan B.Leo kutakuwa na Mtanange wa Kukata na Shoka kati Azam Fc na Yanga SC.
.
Wakuu mechi hii itaanza majira ya saa 2:15 usiku Uwanja wa Chamazi Complex.
.
Tunajua ugumu wa game hii ya leo Ukizingati timu hizi zinapokutana hupigwa mpira wa nguvu sana.
.
Azam FC ni Mwenyeji wa Mchezo wa Leo Dhidi ya Yanga.
.
Huku Team Ya Yanga ikiwakosa Wachezaji wake kama Feisal Salum, Bangala, Aucho nk.
======
Dah aibu sanaIna maana mpaka NBC wanabrand nyuma hiyo ni pre match press. Aibu kwa ligi Hata kufunika na Kitambaa tu Mezani Hawakuona umuhimu Wake.
.
Halafu angalia walivyopandishia viti vya Kukaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2177905
Yes kuzikosa Hizo Mashine 2 ni shida sanaKumkosa Aucho na Bangala pale nyuma, na Fei Toto kiungo cha mbele! Ni changamoto kiasi fulani. Ila naamini Profesa Nabi atakuja na Plan B.
I wish na Sure Boy naye ata waprove wrong waajiri wake kwa kucheza kwa kiwango cha juu kabisa. Sitegemei apaniki kiasi cha kusababisha kupewa kadi nyekundu.
Mwisho kabisa nawatakia ushindi Wananchi Yanga. Itapendeza sana tukichukua ubingwa, huku tukiwa hatujafungwa hata mechi moja.
🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸Leo kutakuwa na Mtanange wa Kukata na Shoka kati Azam Fc na Yanga SC.
.
Wakuu mechi hii itaanza majira ya saa 2:15 usiku Uwanja wa Chamazi Complex.
.
Tunajua ugumu wa game hii ya leo Ukizingati timu hizi zinapokutana hupigwa mpira wa nguvu sana.
.
Azam FC ni Mwenyeji wa Mchezo wa Leo Dhidi ya Yanga.
.
Huku Team Ya Yanga ikiwakosa Wachezaji wake kama Feisal Salum, Bangala, Aucho nk.
======
Mara yenu ya mwisho kushangilia naijua
Mara ya mwisho kucheza ilikuwa lini?
Nilijua unamaanisha public lwenye digital platfoms, kwa softcopy alianza kuuza muda mrefu tangia mwanzoni kabisa ya mwezi wa 3Ikishauzwa kwa softcopy si ndio imeshaingia kitaa au hukunisoma = ...?
Hii meza, dahIna maana mpaka NBC wanabrand nyuma hiyo ni pre match press. Aibu kwa ligi Hata kufunika na Kitambaa tu Mezani Hawakuona umuhimu Wake.
.
Halafu angalia walivyopandishia viti vya Kukaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2177905
Daah [emoji23][emoji23][emoji23]Ina maana mpaka NBC wanabrand nyuma hiyo ni pre match press. Aibu kwa ligi Hata kufunika na Kitambaa tu Mezani Hawakuona umuhimu Wake.
.
Halafu angalia walivyopandishia viti vya Kukaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2177905
Jamani jamani msaada kweye hiliJamani mwenye mawasiliano ya Azam tv please assist. Nimelipia king'amuzi ths. 23000 lakini chanell za mpira hazifunguki namba walizoweka hakuna hata moja inapatikana. Tafadhali
Mkuu naomba namba ya Kadi YakoJamani mwenye mawasiliano ya Azam tv please assist. Nimelipia king'amuzi ths. 23000 lakini chanell za mpira hazifunguki namba walizoweka hakuna hata moja inapatikana. Tafadhali
Naona mnabuni Matokeo Yenu mnayoyajuaFT: AZAM 1 VS CLUB DE UTOPOLO 0