Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Kumkosa Aucho na Bangala pale nyuma, na Fei Toto kiungo cha mbele! Ni changamoto kiasi fulani. Ila naamini Profesa Nabi atakuja na Plan B.

I wish na Sure Boy naye ata waprove wrong waajiri wake kwa kucheza kwa kiwango cha juu kabisa. Sitegemei apaniki kiasi cha kusababisha kupewa kadi nyekundu.

Mwisho kabisa nawatakia ushindi Wananchi Yanga. Itapendeza sana tukichukua ubingwa, huku tukiwa hatujafungwa hata mechi moja.
 
Yes kuzikosa Hizo Mashine 2 ni shida sana
 
🐸🐸🐸🐸🐸🐸🐸
 
Jamani mwenye mawasiliano ya Azam tv please assist. Nimelipia king'amuzi ths. 23000 lakini chanell za mpira hazifunguki namba walizoweka hakuna hata moja inapatikana. Tafadhali
 
Jamani mwenye mawasiliano ya Azam tv please assist. Nimelipia king'amuzi ths. 23000 lakini chanell za mpira hazifunguki namba walizoweka hakuna hata moja inapatikana. Tafadhali
Jamani jamani msaada kweye hili
 
Utopolo anapigwa bao za kutosha akatage mayai
 
Jamani mwenye mawasiliano ya Azam tv please assist. Nimelipia king'amuzi ths. 23000 lakini chanell za mpira hazifunguki namba walizoweka hakuna hata moja inapatikana. Tafadhali
Mkuu naomba namba ya Kadi Yako
 
Subilia Mbugi Ianze, Ila Bangala Yupo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…