Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Hiyo meza ya simba imetia aibu sana, tunahitaji ufafanuzi wa haraka
 
Kila la kheri wananchi!!

We must grab all 3 pts inshallaaah!!
 
Azam anapigwa 3-0

Atakayefuata ni nyau anakula 2-0 swaaaafiiiiii

Hakuna wa kumzuia yanga
 
Mbio za ubingwa zinaisha rasmi leo, Kolo ajipange nafasi ya pili wagombanie na Namungo na Azam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…