Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Huyu zulu ana nini hapa na kipa aisee!
 
Reactions: Lee
Mkuu ulivyokuwa unamkosoa Mbaga III kuwa hajui kuandika nilidhani wewe ni hodari kumbe hamna kitu...!

Subilia ndo Subiria au? Halafu herufi kubwa kama zote hata sehemu ambazo hazistahiki..!
Mkuu achana nae huyo muda huu hawezi kuja hapa maana anahemea mdomo ulimi nje
 
Zuluuuuu loooooooo... Ilikuwa hatari lango la Yanga, huku Mzee Ntibanzokiza akijibu mapigo kwa Shambulizi kwa Azam FC
 
Dah! Bora hata wangekosekana Fei Toto na Aucho! Ila siyo Yannick Bangala! Pengo lake liko wazi kabisa! Zawadi Mauya anapuyanga tu kule nyuma. Wakati mwingine anaona bora awapasie wapinzani mpira!

Juma Shabani naye ufather mwiiingi! Upande wake ndiyo umegeuka kuwa uchochoro. Bakary Mwamnyeto ni nahodha, lakini hata kujipanga hajui! I wish Deus Kaseke angeanza badala ya Ambundo na Nkane, ambao kimsingi siyo wakabaji timu ikiwa inashambuliwa.
 
Hiki kikosi kikipelekwa michuano ya kimataifa kitaleta maafa na kilio kikuu sio Jangwani pekee bali nchi nzima itafedheeshwa. Litakuwa kapu la kuhifadhia magoli
Teh teh teh πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unatafuta ugomvi aisee....

Yaani anayeongoza ligi a.k.a 'bingwa ajaye' unamdhihaki kiasi hiki ?...
 
Jami azam mm nimeshatabili 3 ...1 fanyenyi fanyenyi hizo mbili zikamilike tatu utopingwa wakachunge mfugo wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…