Azam FC 1-2 Yanga SC|| Uwanja wa Chamazi|| NBC Premier League

Huyu refa wa leo ndio sababu mpira wa bongo hauna hadhi ya kupata udhamini mzuri
Refariii Wa Mchongo Mchongo...Faulo anaziona Za Azam tu ...Za Yanga anapeta!
Refa [emoji28]
Punguzeni malalamishi yasiyo na kichwa wala miguu! Refa angekuwa anaibeba Yanga, mpaka muda tungekuwa tunaongoza 3-1!

Maana Aggrey Morris amekamata mpira mara mbili ndani ya eneo la 18, lakini bado mwamuzi amepeta! Na sisi tumechukulia ni sehemu ya mchezo.
 
Yaani Babu unataka uvunje rekodi Magoli ya kupewa ya Penati...hilo moja mmepewa.
 
Back
Top Bottom