Azam FC: Hakuna timu iliyokuja kuzungumza nasi kumuhitaji Feisal Salum

Sawa...

Lakini mkataba ni suala la kujadiliana, kulipana kunaweza kuwa kwa awamu...
Ni kweli, ila unaona Simba wanaweza kulipa iyo billion 2 kwa mchezaji wa ndani uku Azam pia wailipe Yanga billion moja plus yeye FEISAL a nahitaji million 800 + salary 50million kwa mwezi?
 
Ni kweli, ila unaona Simba wanaweza kulipa iyo billion 2 kwa mchezaji wa ndani uku Azam pia wailipe Yanga billion moja plus yeye FEISAL a nahitaji million 800 + salary 50million kwa mwezi?
Ni biashara kichaa. Why? Sababu alisema analishwa sukari Yanga? Amalizie tu mkataba wake ili kama akitaka kuondoka Yanga isimuhusu unless anataka kurudi hapo.

Kumnunua B2 wakati mnaweza kubaliana amalizie mkataba aje yeye kama yeye kwangu mimi sioni kama ni sawa.
 
Kwa mujibu wa Zaka Za Kazi ayo makubaliano kati ya Azam na Yanga ndio watalipana kwaiyo huenda yeye wakala hajui maana hayamuhusu mchezaji wake. Watakaolipa ni Azam fc kwa Yanga endapo watamruhusu Feitoto achezee Simba
Ooh, hapo sawa. Kwamba inshort Yanga ilitaka asiuzwe ndani mpaka mkataba wake uishe. Mkataba si umebaki mwaka mmoja? Anaweza umalizia akawa huru kuamua atakapoenda.
 
Ooh, hapo sawa. Kwamba inshort Yanga ilitaka asiuzwe ndani mpaka mkataba wake uishe. Mkataba si umebaki mwaka mmoja? Anaweza umalizia akawa huru kuamua atakapoenda.
Haijalishi ila makubaliano ni Feitoto akichezea Simba tu Azam wanailipa billion moja Yanga hii ata akienda mwaka wwt ule sijui umeelew? Yaani Feitoto kuchezea tu Simba kuna iyo kama legal betting agreement between two clubs 😂
 
Mkataba wa Azam na Fei ukiisha hicho kipengele kama kipo baina ya Azam na Yanga kinajifia. Pia kama Fei kwenye mkataba wake ana clause ya kuununua mkataba wake, Azam anaweza kwepa.
 
Wapi kasema hiyo issue ya kifungu cha kutomuuza yanga sababu ya makubaliano yao na Yanga!? Nyie watu mna shida gani!? Kwa taarifa yako mpaka sasa Fei ni mnyama iwe kwa kuuzwa au kuvunja mkataba
 
Mashabiki wa SIMBA watatokwa na povu kali sana humu ndani.
Wana haki maana Feitoto ni mchezaji mzuri na pia nafikiri ndio mchezaji pekee atawaunganisha mashabiki na viongozi endapo akitua msimbazi basi matumaini yatarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…