Azam FC: Hakuna timu iliyokuja kuzungumza nasi kumuhitaji Feisal Salum

Zitaje hizo timu ambazo wewe unaona zinamtaka huyo mchezaj ambazo unadhani kua na Mimi ni mmoja wa wanaozishabikia...
Team zote za Africa asa za ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara
 
Msemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna timu yoyote ya Tanzania imegonga hodi kwenye timu yao kumuhitaji mchezaji wao isipokuwa ni tetesi tu kuzusha za mitandaoni na ata ivo pia mchezaji hajautaarifu uongozi wa club kama anahitaji kuondoka Azam FC.

Pia kaweka wazi kuwa mkataba wa FEISAL SALUM una vipendele vigumu sana ata kuuvunja unahitaji billion moja pamoja na pia kuna kipengele kiliwekwa na club ya Young Africans ‘Kama Azam FC itamuuza FEISAL SALUM kwenda SIMBA basi walipwe pia billion moja’ , Kitu ambacho ni kigumu sana kwa Azam FC.

Vilevile Msamaji uyo Zaka za kazi amesisitiza kuwa Simba haina uwezo wa kulipa billion 2 kwao kwaiyo taarifa za FEISAL SALUM kutimkia uko zipuuzwe.

VIPI MAONI YAKO MWANA JAMII SPORTS??View attachment 3421467
Huyu tunamchukua Kwa heshima b2 Kwa simba ndogo xnaa
Tunaeka record tusubir mje kuivunja miaka 10 mbele
 
Boss wenu katoa billion 6 tu za usajiri mkitoa 2.5b mtabaki na ngapi kukamilisha wengine 😂
 
Msemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna timu yoyote ya Tanzania imegonga hodi kwenye timu yao kumuhitaji mchezaji wao isipokuwa ni tetesi tu kuzusha za mitandaoni na ata ivo pia mchezaji hajautaarifu uongozi wa club kama anahitaji kuondoka Azam FC.

Pia kaweka wazi kuwa mkataba wa FEISAL SALUM una vipendele vigumu sana ata kuuvunja unahitaji billion moja pamoja na pia kuna kipengele kiliwekwa na club ya Young Africans ‘Kama Azam FC itamuuza FEISAL SALUM kwenda SIMBA basi walipwe pia billion moja’ , Kitu ambacho ni kigumu sana kwa Azam FC.

Vilevile Msamaji uyo Zaka za kazi amesisitiza kuwa Simba haina uwezo wa kulipa billion 2 kwao kwaiyo taarifa za FEISAL SALUM kutimkia uko zipuuzwe.

VIPI MAONI YAKO MWANA JAMII SPORTS??View attachment 3421467
Naamimi anachosema ni kweli. Ukiliangalia hili suala utaona kuna propaganda machine ipo nyuma yake inalisukuma hili suala. Machine hiyo ina mfuko wa taifa kwa hiyo sitashangaa mwisho wa siku wakiamua kulipia "kifurushi" ili jambo litimie.

Juzi tumeambiwa Sowah kaenda Simba kisa eti Dewji kazungumza na mlezi wa Singida wakalimaliza bila malipo yoyote kufanyika!
 
Sawa ametoa tajiri anaepata hasara lakini haachii team
20250728_140244.jpg

Ameshatoa billion 6 za usajiri
 
Naamimi anachosema ni kweli. Ukiliangalia hili suala utaona kuna propaganda machine ipo nyuma yake inalisukuma hili suala. Machine hiyo ina mfuko wa taifa kwa hiyo sitashangaa mwisho wa siku wakiamua kulipia "kifurushi" ili jambo litimie.

Juzi tumeambiwa Sowah kaenda Simba kisa eti Dewji kazungumza na mlezi wa Singida wakalimaliza bila malipo yoyote kufanyika!
“Bila malipo yyt kufanyika “ mpira wetu una mambo ya kushangaza sana yaani mchezaji umlete Tz kwa gharama kubwa afu umtoe bila malipo yyt. Apo lazima kuna vitu vyeusi nyuma ya pazia kwa hawa viongozi wa izi team na wamiliki wake kwa ujumla.

Ilo ni kweli ndio maana Zaka za Kazi kaongea kwa kujiamini na msisitizo mkubwa sana
 
Vitu vyeusi kweli kweli na wala siyo utani.

Labda Dewji ataongea na Bakhresa halafu Azam nao watamuacha Feisal bure na hivyo kuepuka kipengele cha kuifidia Yanga. Daaah mpira wetu kivyetuvyetu.
 
Eti akiuzwa bongo yanga ipate 1B, vipi kama atauzwa kwa 500 million, msifanywe vichaa ndugu zangu
 
Apo baadae utasikia “ Tunamshukuru Dewji kukamilisha uwanja wa Airtel Stadium,Singida “ wanalipana gizani gizani
 
Soma na fuatilia vizuri,, Kwa kifupi tu nikusaidie kuvunja au thamani ya FEISAL kwenye mkataba ni billion 1 na ata ivo Yanga walikubaliana na Azam kama vilabu kimkataba kuwa endapo Feitoto atachezea Simba basi walipwe billion 1 . Hivi vipengele vigumu ndio tunahitaji maoni yako unaonaje??
 
Apo baadae utasikia “ Tunamshukuru Dewji kukamilisha uwanja wa Airtel Stadium,Singida “ wanalipana gizani gizani
Kwenye haya mambo kuna "ndoa" nyingi haramu zinafanyika ambazo hata hautegemei. Watu wanapeana miadi na kulipana fadhila ambazo sisi mashabiki hatuzijui. Wanaturushia tu changa la macho.
 
Unawezaje uliza ivi ikiwa wewe ni mwana jamiiSports yaani huzijui team za Africa zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara dooh, Sikutegemea ilo swali toka kwako
Sizijui niambie ili nione kama Kuna timu ambayo wewe unadhani naishabikia Hadi kufikia kuniambia eti nikawaambie wavunje kibubu...zitaje hapa nizione
 
Back
Top Bottom