Azam FC: Hakuna timu iliyokuja kuzungumza nasi kumuhitaji Feisal Salum

Azam FC: Hakuna timu iliyokuja kuzungumza nasi kumuhitaji Feisal Salum

Uko sahihi, Nae alisema ikitokea Feitoto akanunua mkataba wake basi ni billion 2 kisha Azam watailipa Yanga billion yao basi mengine yatabaki makubaliano binafsi tu baina ya mchezaji na timu ambayo yako wazi kuwa Feitoto anahitaji 800 million +50million kama mshahara wa kila mwezi
Ila Fei ana akili. Amejua kujibrand pamoja na aliyopitia. Saa hii anapata pesa. Wale waliokuwa wanasema anaenda kupotea wamepotea wao.
 
Sasa itakuweje
images (3) (3).jpeg
 
So in which side are you? Do you think that can really happen with in this transfer window?
Nothing is impossible, anything can happen........cos it seems a player himself is tired of a club that does not grantee him a trophy or medals at the end of the season.

Maybe the arrival of Ibenge cos of his profile,a prayer can be convinced to stay for another season
 
Haijalishi ila makubaliano ni Feitoto akichezea Simba tu Azam wanailipa billion moja Yanga hii ata akienda mwaka wwt ule sijui umeelew? Yaani Feitoto kuchezea tu Simba kuna iyo kama legal betting agreement between two clubs 😂
Hii haiwezekani, sababu kama Feisal akimaliza mkataba wake na Azam tayar anakuwa si Mali ya Azam na Wala si Mali ya yanga. Kwahiyo anaweza kwenda kokote tena bure kabisa
 
Ila Fei ana akili. Amejua kujibrand pamoja na aliyopitia. Saa hii anapata pesa. Wale waliokuwa wanasema anaenda kupotea wamepotea wao.
Kabisa na heri achangamkie fursa saivi maana msimu ukianza afu hasioneshe kiwango bora basi najua thamani itashuka na atajutia izo offer
 
Tafuteni hiyo b1 ya Yanga tu Azam si wameshakuzoesheni kukupeni Bure wachezaji
Walikupeni Bure akina Mrisho ngasa ,Boko, Manura. Kapombe na Elasto

Na Fei toto pia watakupeni tu bure
MO Dewji kashatoa zaidi ya billion 6 za kumalizana na wachezaji tayari
 
Msemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna timu yoyote ya Tanzania imegonga hodi kwenye timu yao kumuhitaji mchezaji wao isipokuwa ni tetesi tu kuzusha za mitandaoni na ata ivo pia mchezaji hajautaarifu uongozi wa club kama anahitaji kuondoka Azam FC.

Pia kaweka wazi kuwa mkataba wa FEISAL SALUM una vipendele vigumu sana ata kuuvunja unahitaji billion moja pamoja na pia kuna kipengele kiliwekwa na club ya Young Africans ‘Kama Azam FC itamuuza FEISAL SALUM kwenda SIMBA basi walipwe pia billion moja’ , Kitu ambacho ni kigumu sana kwa Azam FC.

Vilevile Msamaji uyo Zaka za kazi amesisitiza kuwa Simba haina uwezo wa kulipa billion 2 kwao kwaiyo taarifa za FEISAL SALUM kutimkia uko zipuuzwe.

VIPI MAONI YAKO MWANA JAMII SPORTS??View attachment 3421467
Huu upuuzi na uishe sasa
 
Nothing is impossible, anything can happen........cos it seems a player himself is tired of a club that does not grantee him a trophy or medals at the end of the season.

Maybe the arrival of Ibenge cos of his profile,a prayer can be convinced to stay for another season
I don’t think if the player wants to win a trophy because he could have stayed at Young Africans which has 90% guarantee of winning trophies but all he needs is money that’s why he moved to Azam by force without deep consideration. His serious personal demands are 800m for signing fees and 50m salary per month plus extra bonus like car and house
 
He is smart.
 
Back
Top Bottom