King Leon 1
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 353
- 523
- Thread starter
-
- #61
Haijalishi mkataba kuisha au vipi ila kipengele kipo endapo akichezea pale Simba tu basi Azam walipe mzigo πOoh, hapo sawa. Kwamba inshort Yanga ilitaka asiuzwe ndani mpaka mkataba wake uishe. Mkataba si umebaki mwaka mmoja? Anaweza umalizia akawa huru kuamua atakapoenda.
Fuatilia kipindi cha sports Crown FM leo asubuhi kisha sikiliza maelezo ya Zaka Za KaziWapi kasema hiyo issue ya kifungu cha kutomuuza yanga sababu ya makubaliano yao na Yanga!? Nyie watu mna shida gani!? Kwa taarifa yako mpaka sasa Fei ni mnyama iwe kwa kuuzwa au kuvunja mkataba
Vile ni vipengele vya timu ya Azam na Yanga, haviwahusu wakala na mchezajiWakala wa Fei mbona anasema hakuna vipengele vyovyote kuhusu Yanga??
Mzeee mbona hii kama hainiingii kichwani mfano feisai amalize mkataba na azam alafu akatimkia kmc alafu ndo aende simba hapo azam atahusikaje kulipa hiio b1 kwayangaHaijalishi ila makubaliano ni Feitoto akichezea Simba tu Azam wanailipa billion moja Yanga hii ata akienda mwaka wwt ule sijui umeelew? Yaani Feitoto kuchezea tu Simba kuna iyo kama legal betting agreement between two clubs π
Hakuna mkataba kama huo duniani. Ili uwepo inabidi Fei awe amesaini mkataba wa milele na Azam kuwapa hiyo nguvu.Haijalishi mkataba kuisha au vipi ila kipengele kipo endapo akichezea pale Simba tu basi Azam walipe mzigo π
Iyo span hajaweza wazi ila amekazia tu kipo kipengele iko kwenye mkataba makubaliano ayo ni endapo Feitoto akichezea Simba tuKama Azam na Yanga walikubaliana ina maana makubaliano lazima yawe na life span within contract ya Fei na Azam.
So in which side are you? Do you think that can really happen with in this transfer window?In Tanzania,we're not in full professional (Semi-professional).
Unajua Azam wanamzungumzia Fei sababu wana mkataba nae. Ikitokea mkataba ukaisha hawatakuwa na mamlaka naye, ataenda popote. Sasa Azam watakuwa wajinga kiasi gani kukubali kulipa b1 kwa mchezaji asiye wa kwao?Iyo span hajaweza wazi ila amekazia tu kipo kipengele iko kwenye mkataba makubaliano ayo ni endapo Feitoto akichezea Simba tu
Yeah aingii akilini ndio maana Yanga wakaweka iko kipengele na makubaliano ayo Azam alikubali ili kuweka ugumu mchezaji uyo hasichezee upande wa pili. Siunajua walivyo mahasimuMzeee mbona hii kama hainiingii kichwani mfano feisai amalize mkataba na azam alafu akatimkia kmc alafu ndo aende simba hapo azam atahusikaje kulipa hiio b1 kwayanga
Unahisi iko kipengele hakipo yaani wewe unavyojua Yanga kwa Simba hawezi weka makubaliano ya ajabu kukomoana tu. Ayo makubaliano yapo ni kawaida tu kwenye mikataba ya wachezaji asa baina ya timu mahasimuHakuna mkataba kama huo duniani. Ili uwepo inabidi Fei awe amesaini mkataba wa milele na Azam kuwapa hiyo nguvu.
Fei sio mali ya Azam wala Yanga wala Simba wala Namumgo kama hajasaini mkataba na timu husika au kama mkataba aliosaini umekwisha.
Nafikiri kwa kuepuka kulipa iyo billion nao wanaweza kuweka kipengele kwa timu nyingine juu ya Feitoto cha ajabu vilevileUnajua Azam wanamzungumzia Fei sababu wana mkataba nae. Ikitokea mkataba ukaisha hawatakuwa na mamlaka naye, ataenda popote. Sasa Azam watakuwa wajinga kiasi gani kukubali kulipa b1 kwa mchezaji asiye wa kwao?
Ilikuaje?? Nafikiri walipata somo juu ya ujanja huo ivo wamekuja na vipengele vipya ππKwani Mrisho Ngassa ilikuaje?
Kabisa βπΌVile ni vipengele vya timu ya Azam na Yanga, haviwahusu wakala na mchezaji
Nazani hili linaweza kuwa kipindi ambacho feisal yupo ndani ya mkataba tu nje ya hapo azam hawawezi wajibika kwa kua hawammilik mchezajiYeah aingii akilini ndio maana Yanga wakaweka iko kipengele na makubaliano ayo Azam alikubali ili kuweka ugumu mchezaji uyo hasichezee upande wa pili. Siunajua walivyo mahasimu
Kipengele kama kipo ni baina ya Azam na Yanga na lazima kina ukomo, ukomo ni tamati ya mkataba kati ya Fei na Azam na ikitokea Fei akavunja mkataba na Azam hicho kipengele kinakufa.Unahisi iko kipengele hakipo yaani wewe unavyojua Yanga kwa Simba hawezi weka makubaliano ya ajabu kukomoana tu. Ayo makubaliano yapo ni kawaida tu kwenye mikataba ya wachezaji asa baina ya timu mahasimu
Uko sahihi, Nae alisema ikitokea Feitoto akanunua mkataba wake basi ni billion 2 kisha Azam watailipa Yanga billion yao basi mengine yatabaki makubaliano binafsi tu baina ya mchezaji na timu ambayo yako wazi kuwa Feitoto anahitaji 800 million +50million kama mshahara wa kila mweziKipengele kama kipo ni baina ya Azam na Yanga na lazima kina ukomo, ukomo ni tamati ya mkataba kati ya Fei na Azam na ikitokea Fei akavunja mkataba na Azam hicho kipengele kinakufa.
Ikitokea Azam ikataka kumuuza Fei bila kuilipa Yanga 1b unadhani itafanyaje zaidi ya kutafuta mbinu za Fei kununua mkataba wake? Unless Fei alisaini mkataba asioweza kuununua iwapo atahitaji kuuvunja.
Anyway, binafsi sioni kwanini Simba imnunue kwa bei juu iwapo kama mchezaji anapenda kucheza Simba anaweza subiri msimu ujao mkataba wake na Azam ukiwa mwishoni.