King Leon 1
JF-Expert Member
- Oct 25, 2019
- 353
- 523
- Thread starter
-
- #101
Team zote za Africa asa za ukanda wa kusini mwa jangwa la SaharaZitaje hizo timu ambazo wewe unaona zinamtaka huyo mchezaj ambazo unadhani kua na Mimi ni mmoja wa wanaozishabikia...
Ambazo ni zipi ..Team zote za Africa asa za ukanda wa kusini mwa jangwa la Sahara
I can say his management team is smart enough so farHe is smart.
Huyu tunamchukua Kwa heshima b2 Kwa simba ndogo xnaaMsemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna timu yoyote ya Tanzania imegonga hodi kwenye timu yao kumuhitaji mchezaji wao isipokuwa ni tetesi tu kuzusha za mitandaoni na ata ivo pia mchezaji hajautaarifu uongozi wa club kama anahitaji kuondoka Azam FC.
Pia kaweka wazi kuwa mkataba wa FEISAL SALUM una vipendele vigumu sana ata kuuvunja unahitaji billion moja pamoja na pia kuna kipengele kiliwekwa na club ya Young Africans βKama Azam FC itamuuza FEISAL SALUM kwenda SIMBA basi walipwe pia billion mojaβ , Kitu ambacho ni kigumu sana kwa Azam FC.
Vilevile Msamaji uyo Zaka za kazi amesisitiza kuwa Simba haina uwezo wa kulipa billion 2 kwao kwaiyo taarifa za FEISAL SALUM kutimkia uko zipuuzwe.
VIPI MAONI YAKO MWANA JAMII SPORTS??View attachment 3421467
Huu upuuzi na uishe
Kwanini mkuu wakati ndio muda wake huuHuu upuuzi na uishe sasa
Boss wenu katoa billion 6 tu za usajiri mkitoa 2.5b mtabaki na ngapi kukamilisha wengine πHuyu tunamchukua Kwa heshima b2 Kwa simba ndogo xnaa
Tunaeka record tusubir mje kuivunja miaka 10 mbele
Muddy hawezi kufanya hiyo biashara, pili kufanya biashara imnufaishe Yanga ni kejeli nyingine hiyo mkuu.Itawezekana tu endapo pesa itatoka kama 2.5billion ivi ndio full package
Unawezaje uliza ivi ikiwa wewe ni mwana jamiiSports yaani huzijui team za Africa zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara dooh, Sikutegemea ilo swali toka kwakoAmbazo ni zipi ..
Kabisa ndio ugumu uliopo na lengo la Yanga kuweka kipengele iko kwa Azam fcMuddy hawezi kufanya hiyo biashara, pili kufanya biashara imnufaishe Yanga ni kejeli nyingine hiyo mkuu.
KicBoss wenu katoa billion 6 tu za usajiri mkitoa 2.5b mtabaki na ngapi kukamilisha wengine π
Naamimi anachosema ni kweli. Ukiliangalia hili suala utaona kuna propaganda machine ipo nyuma yake inalisukuma hili suala. Machine hiyo ina mfuko wa taifa kwa hiyo sitashangaa mwisho wa siku wakiamua kulipia "kifurushi" ili jambo litimie.Msemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna timu yoyote ya Tanzania imegonga hodi kwenye timu yao kumuhitaji mchezaji wao isipokuwa ni tetesi tu kuzusha za mitandaoni na ata ivo pia mchezaji hajautaarifu uongozi wa club kama anahitaji kuondoka Azam FC.
Pia kaweka wazi kuwa mkataba wa FEISAL SALUM una vipendele vigumu sana ata kuuvunja unahitaji billion moja pamoja na pia kuna kipengele kiliwekwa na club ya Young Africans βKama Azam FC itamuuza FEISAL SALUM kwenda SIMBA basi walipwe pia billion mojaβ , Kitu ambacho ni kigumu sana kwa Azam FC.
Vilevile Msamaji uyo Zaka za kazi amesisitiza kuwa Simba haina uwezo wa kulipa billion 2 kwao kwaiyo taarifa za FEISAL SALUM kutimkia uko zipuuzwe.
VIPI MAONI YAKO MWANA JAMII SPORTS??View attachment 3421467
Ameshatoa billion 6 za usajiri
βBila malipo yyt kufanyika β mpira wetu una mambo ya kushangaza sana yaani mchezaji umlete Tz kwa gharama kubwa afu umtoe bila malipo yyt. Apo lazima kuna vitu vyeusi nyuma ya pazia kwa hawa viongozi wa izi team na wamiliki wake kwa ujumla.Naamimi anachosema ni kweli. Ukiliangalia hili suala utaona kuna propaganda machine ipo nyuma yake inalisukuma hili suala. Machine hiyo ina mfuko wa taifa kwa hiyo sitashangaa mwisho wa siku wakiamua kulipia "kifurushi" ili jambo litimie.
Juzi tumeambiwa Sowah kaenda Simba kisa eti Dewji kazungumza na mlezi wa Singida wakalimaliza bila malipo yoyote kufanyika!
Zenu kama kina nani na zipo ngapi? πTukichanganya na zetu je π
Kic
Vitu vyeusi kweli kweli na wala siyo utani.βBila malipo yyt kufanyika β mpira wetu una mambo ya kushangaza sana yaani mchezaji umlete Tz kwa gharama kubwa afu umtoe bila malipo yyt. Apo lazima kuna vitu vyeusi nyuma ya pazia kwa hawa viongozi wa izi team na wamiliki wake kwa ujumla.
Ilo ni kweli ndio maana Zaka za Kazi kaongea kwa kujiamini na msisitizo mkubwa sana
Apo baadae utasikia β Tunamshukuru Dewji kukamilisha uwanja wa Airtel Stadium,Singida β wanalipana gizani gizaniVitu vyeusi kweli kweli na wala siyo utani.
Labda Dewji ataongea na Bakhresa halafu Azam nao watamuacha Feisal bure na hivyo kuepuka kipengele cha kuifidia Yanga. Daaah mpira wetu kivyetuvyetu.
Soma na fuatilia vizuri,, Kwa kifupi tu nikusaidie kuvunja au thamani ya FEISAL kwenye mkataba ni billion 1 na ata ivo Yanga walikubaliana na Azam kama vilabu kimkataba kuwa endapo Feitoto atachezea Simba basi walipwe billion 1 . Hivi vipengele vigumu ndio tunahitaji maoni yako unaonaje??Eti akiuzwa bongo yanga ipate 1B, vipi kama atauzwa kwa 500 million, msifanywe vichaa ndugu zangu
Kwenye haya mambo kuna "ndoa" nyingi haramu zinafanyika ambazo hata hautegemei. Watu wanapeana miadi na kulipana fadhila ambazo sisi mashabiki hatuzijui. Wanaturushia tu changa la macho.Apo baadae utasikia β Tunamshukuru Dewji kukamilisha uwanja wa Airtel Stadium,Singida β wanalipana gizani gizani
Sizijui niambie ili nione kama Kuna timu ambayo wewe unadhani naishabikia Hadi kufikia kuniambia eti nikawaambie wavunje kibubu...zitaje hapa nizioneUnawezaje uliza ivi ikiwa wewe ni mwana jamiiSports yaani huzijui team za Africa zilizopo kusini mwa jangwa la Sahara dooh, Sikutegemea ilo swali toka kwako