mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,559
- 4,022
Hata masanzakona wa Singida BS kwa Sowah alisema hivyohivyo . Ila mwisho wa siku tumeona kilichojili.Kwa alivyoelezea Zaka Za kazi bila kuuma meno unaona kweli Simba watatoa huo mzigo wote na hali kioo sasa pale msimbazi?
Kwa maana iyo simba wanatakiwa wampe Azam billion 2.5 alafu Feisal mshahara wake na mambo mengine ya usajili tunazungumzia atakuwa na thamani ya zaidi ya billion 3 sasa uyo mhindi anayesema anawadai Simba billion 87 atatoa iyo pesa🤣🤣🤣Msemaji wa Azam FC leo alitoa ufafanuzi uliopo kwenye suala la FEISAL SALUM (Feitoto) kwenda club ya Simba Kupitia radio Crown FM kipindi cha michezo asubuhi. Zaka Za kazi ameweka wazi kuwa mpaka sasa hakuna timu yoyote ya Tanzania imegonga hodi kwenye timu yao kumuhitaji mchezaji wao isipokuwa ni tetesi tu kuzusha za mitandaoni na ata ivo pia mchezaji hajautaarifu uongozi wa club kama anahitaji kuondoka Azam FC.
Pia kaweka wazi kuwa mkataba wa FEISAL SALUM una vipendele vigumu sana ata kuuvunja unahitaji billion moja pamoja na pia kuna kipengele kiliwekwa na club ya Young Africans ‘Kama Azam FC itamuuza FEISAL SALUM kwenda SIMBA basi walipwe pia billion moja’ , Kitu ambacho ni kigumu sana kwa Azam FC.
Vilevile Msamaji uyo Zaka za kazi amesisitiza kuwa Simba haina uwezo wa kulipa billion 2 kwao kwaiyo taarifa za FEISAL SALUM kutimkia uko zipuuzwe.
VIPI MAONI YAKO MWANA JAMII SPORTS??View attachment 3421467
Yote Yawezekana maana hawa viongozi hawatabirikiHata masanzakona wa Singida BS kwa Sowah alisema hivyohivyo . Ila mwisho wa siku tumeona kilichojili.
Huyo hajui chochote kuhusu hilo deal . Yawezekana pia uongozi unamficha sababu ya unafiki wake.
Yeah 2.5billion ndio package ya kumpata FeitotoKwa maana iyo simba wanatakiwa wampe Azam billion 2.5 alafu Feisal mshahara wake na mambo mengine ya usajili tunazungumzia atakuwa na thamani ya zaidi ya billion 3 sasa uyo mhindi anayesema anawadai Simba billion 87 atatoa iyo pesa🤣🤣🤣
Unajua zaka zakazi kaamua kuwapasulia mbumbumbu maana walikuwa wanadanganywa sana na viongozi wao wakitafuta kichaka cha kuegemea kusambaza propaganda uchwara lakini Awana uwezo wa kutoa iyo ela,,kama wanaazima wachezaji kwa mkopo ndio waje watoe billion 2.5 cash ya kumnunua Feisal? Mangungu alikuwa sahihi kukataa kujiuzulu maana kama mashabiki na wanachama wako hivi kudanganywa kama watoto na wenyewe wanakubali tu kama wamekatika vichwa iyo klabu unaweza kuongoza miaka 100Yeah 2.5billion ndio package ya kumpata Feitoto
Huwezi jua wanaweza kumchukua kwa lengo la kuwananga upande wa pili maana wao pia wanajua wamewekewa vipengele kusudi tuUnajua zaka zakazi kaamua kuwapasulia mbumbumbu maana walikuwa wanadanganywa sana na viongozi wao wakitafuta kichaka cha kuegemea kusambaza propaganda uchwara lakini Awana uwezo wa kutoa iyo ela,,kama wanaazima wachezaji kwa mkopo ndio waje watoe billion 2.5 cash ya kumnunua Feisal? Mangungu alikuwa sahihi kukataa kujiuzulu maana kama mashabiki na wanachama wako hivi kudanganywa kama watoto na wenyewe wanakubali tu kama wamekatika vichwa iyo klabu unaweza kuongoza miaka 100
Wachambuzi achana naoKwa ufafanuzi huo unaona ili jambo litawezekana kweli??
Awana ubavu huo ni wazee wa propaganda tu Awana lolote,,Yani watoe zaidi ya billion 3 kwa mchezaji wa ndani wakati wanaokoteza wachezaji kwa mkopo🤣🤣Huwezi jua wanaweza kumchukua kwa lengo la kuwananga upande wa pili maana wao pia wanajua wamewekewa vipengele kusudi tu
Ikiwa wameamua kuvunja kibubu basi lolote linawezekana na kwa vile mashabiki wengi wa Simba wanamtaka Feitoto kwaiyo viongozi wanaweza fanya kitu kurudisha matumainiAwana ubavu huo ni wazee wa propaganda tu Awana lolote,,Yani watoe zaidi ya billion 3 kwa mchezaji wa ndani wakati wanaokoteza wachezaji kwa mkopo🤣🤣