demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Hatua ya makundi CAFCC ni ngumu zaidi kuliko CAFCL.
Sababu mojawapo unacheza na timu ambazo hazifahamiki sana ana zenye wachezaji wanao weza kuku saplaiz kiwanjani. Ukicheza na timu kubwa ni rahisi mno kupata matokea, kwasababu unafahamu quality ya kila mchezaji hivyo ni rahisi kuandaa mpango mkakati mzuri.
Ni kweli Azam FC wamesajili vizuri, lakini hawakusajili vipaji kama ilivyo sajili Yanga SC msimu uliopita, Wale walikuwa vipaji haswa. Hivyo basi baada ya kuona draw ya siku ya leo, ninaweza kufikia hatma na kutamka Azam FC hatoweza kuingia Makundi.
Kizingiti cha awali ni wale wa Ethopia.
Azam FC haina rekodi nzuri sana dhidi ya Waethiopia. Hawajawahi kushinda zaidi ya asilimia 50% ya games dhidi ya timu za kule.
Let us assume wamebahatika kupita kizingiti cha kwanza.
Hiki cha pili cha Club Africain ni habari nyingine, hakuna chembe ya bahati itakayo wasaidia kufanya vyema dhidi ya hawa waarabu. Uwezo wa azam fc uko chini mno kiasi kwamba bado hawajaweza hata kushindana localy kutwaa ndoo.
AZAM FC WAJIPANGE KWA AJILI YA MSIMU WA LIGIKUU SIO CAFCC.
(Mdau)