Azam FC hatoingia Makundi CAFCC, Club Africain Kizingiti

Hatua ya makundi CAFCC ni ngumu zaidi kuliko CAFCL.

Sababu mojawapo unacheza na timu ambazo hazifahamiki sana ana zenye wachezaji wanao weza kuku saplaiz kiwanjani. Ukicheza na timu kubwa ni rahisi mno kupata matokea, kwasababu unafahamu quality ya kila mchezaji hivyo ni rahisi kuandaa mpango mkakati mzuri.

Ni kweli Azam FC wamesajili vizuri, lakini hawakusajili vipaji kama ilivyo sajili Yanga SC msimu uliopita, Wale walikuwa vipaji haswa. Hivyo basi baada ya kuona draw ya siku ya leo, ninaweza kufikia hatma na kutamka Azam FC hatoweza kuingia Makundi.

Kizingiti cha awali ni wale wa Ethopia.

Azam FC haina rekodi nzuri sana dhidi ya Waethiopia. Hawajawahi kushinda zaidi ya asilimia 50% ya games dhidi ya timu za kule.

Let us assume wamebahatika kupita kizingiti cha kwanza.

Hiki cha pili cha Club Africain ni habari nyingine, hakuna chembe ya bahati itakayo wasaidia kufanya vyema dhidi ya hawa waarabu. Uwezo wa azam fc uko chini mno kiasi kwamba bado hawajaweza hata kushindana localy kutwaa ndoo.

AZAM FC WAJIPANGE KWA AJILI YA MSIMU WA LIGIKUU SIO CAFCC.

(Mdau)
Fans wa yanga bhna wanakuwaga na kaujinga fulan sometimes [emoji28]
 
Binafsi naomba huu mwaka uwe wa fedheha kwao pamoja na Feisal. Nina uhakika Azam hatafika popote iwe kimataifa au ligi ya ndani. Pia namuona Feisal akipata fedheha na majeruhi.
Unaondoka klabuni kwa kudhalilisha viongozi wa club na mdhamini na kutumia nguvu kubwa. Angalia jinsi Mayele alivyoondoka kiustaarabu tena unaweza kukuta yapo ambayo wamevutana na uongozi lakini huwezi kukuta mbambamba kama za Feisal.

Labda kama sio huyu Mungu ninayemuabudu.

Tunzeni andiko hili, mimi nimekaa paleee
Hayo siyo maombi ni uchawi kabisa, yaani unaroga kwa dhamira!
 
Mpira sometimes sio wa kutabiri sana wee kaa then subiria.Nakumbuka kwenye kundi la Yanga,humu kuna baadhi ya Kolo FC waliipa nafasi Mazembe na wale waarab,ila mambo ya kawa tofauti.

Azam wana timu nzuri na wamekamilika kila idara,ila labda wanamiss ni mchezaji wa kumi na mbili (mashabiki) basi,ila tokea msimu uliopita Azam walikuwa na timu nzuri na msimu huu wame jiimarisha sana.
 
Binafsi naomba huu mwaka uwe wa fedheha kwao pamoja na Feisal. Nina uhakika Azam hatafika popote iwe kimataifa au ligi ya ndani. Pia namuona Feisal akipata fedheha na majeruhi.
Unaondoka klabuni kwa kudhalilisha viongozi wa club na mdhamini na kutumia nguvu kubwa. Angalia jinsi Mayele alivyoondoka kiustaarabu tena unaweza kukuta yapo ambayo wamevutana na uongozi lakini huwezi kukuta mbambamba kama za Feisal.

Labda kama sio huyu Mungu ninayemuabudu.

Tunzeni andiko hili, mimi nimekaa paleee
Azam inaingia makundi ila yanga haitaingia makundi mimi nimekaa palee
 
Binafsi naomba huu mwaka uwe wa fedheha kwao pamoja na Feisal. Nina uhakika Azam hatafika popote iwe kimataifa au ligi ya ndani. Pia namuona Feisal akipata fedheha na majeruhi.
Unaondoka klabuni kwa kudhalilisha viongozi wa club na mdhamini na kutumia nguvu kubwa. Angalia jinsi Mayele alivyoondoka kiustaarabu tena unaweza kukuta yapo ambayo wamevutana na uongozi lakini huwezi kukuta mbambamba kama za Feisal.

Labda kama sio huyu Mungu ninayemuabudu.

Tunzeni andiko hili, mimi nimekaa paleee
Dua la kuku hilo.
 
Hayo siyo maombi ni uchawi kabisa, yaani unaroga kwa dhamira!
Na hili ni moja ya tatizo kubwa lililopo vichwani mwa waafrika, KUWAZA UCHAWI TU, YAANI KILA JAMBO ATAHUSISHA UCHAWI.

Binafsi namshukuru sana Mungu sikukulia kwenye imani hiyo, kwetu paka akilia nje usiku tunachukulia huyo ni paka tu, na mtu akiugua tuliamini zaidi vipimo vya maabara/hospital.

Tofauti na wewe ambaye neno UCHAWI limekuwa ni sehemu ya meno yako
 
Club African ikiyofungwa na yanga ilikuwa dhaifu hii ya Sasa imebadilika sana ,AZAM anao mlima mkubwa kuliko team zote .
Heko kwa kuliona hilo.

Iko kazi azam f wanapaswa kufanya, but for now its too late.

The should focus on LigiKUU pekee.
 
Binafsi naomba huu mwaka uwe wa fedheha kwao pamoja na Feisal. Nina uhakika Azam hatafika popote iwe kimataifa au ligi ya ndani. Pia namuona Feisal akipata fedheha na majeruhi.
Unaondoka klabuni kwa kudhalilisha viongozi wa club na mdhamini na kutumia nguvu kubwa. Angalia jinsi Mayele alivyoondoka kiustaarabu tena unaweza kukuta yapo ambayo wamevutana na uongozi lakini huwezi kukuta mbambamba kama za Feisal.

Labda kama sio huyu Mungu ninayemuabudu.

Tunzeni andiko hili, mimi nimekaa paleee
Duh....!
 
Acha uchawi mkuu,hizo timu sio zenu mnajipa umuhimu na chuki kwa vitu vidogo tu,Hakika Dua mbaya humrudia aliyeiomba.
 
Back
Top Bottom