ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Jana hahacheza huyo mtu wako?Uo ni uchawi Azam watafika makundi tena msaada mkubwa utatoka kwa Fesal.
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana hahacheza huyo mtu wako?Uo ni uchawi Azam watafika makundi tena msaada mkubwa utatoka kwa Fesal.
Wewe ndio mmiliki wa makundi?Azam inaingia makundi ila yanga haitaingia makundi mimi nimekaa palee
Yanga itacheza mpira mwingi sana pasi nyingi sana lakini haitafunga
Sio mtu wangu tu ni mtu wetu watanzania yule ni mchezaji wa Taifa stars.
Mbona hakusaida wasipigwe 4Sio mtu wangu tu ni mtu wetu watanzania yule ni mchezaji wa Taifa stars.
Wewe ni nabii, mtume au mnajimu?Yanga itacheza mpira mwingi sana pasi nyingi sana lakini haitafunga
Mechi aukuisha ingeendelea wangerudisha zote na nyongeza juu.
Labda kama walikua wanacheza na Simba sawaMechi aukuisha ingeendelea wangerudisha zote na nyongeza juu.
Vyovyote vile ndo ivyoivyo vyedi vya doido.
Hakuna striker pale
Hakuna striker pale sio mzize wala musonda anaweza kuscore ligi ya mabingwa.
Mbumbumbu on one and twoHakuna striker pale sio mzize wala musonda anaweza kuscore ligi ya mabingwa.