Azam FC hatoingia Makundi CAFCC, Club Africain Kizingiti

Fans wa yanga bhna wanakuwaga na kaujinga fulan sometimes [emoji28]
 
Hayo siyo maombi ni uchawi kabisa, yaani unaroga kwa dhamira!
 
Mpira sometimes sio wa kutabiri sana wee kaa then subiria.Nakumbuka kwenye kundi la Yanga,humu kuna baadhi ya Kolo FC waliipa nafasi Mazembe na wale waarab,ila mambo ya kawa tofauti.

Azam wana timu nzuri na wamekamilika kila idara,ila labda wanamiss ni mchezaji wa kumi na mbili (mashabiki) basi,ila tokea msimu uliopita Azam walikuwa na timu nzuri na msimu huu wame jiimarisha sana.
 
Azam inaingia makundi ila yanga haitaingia makundi mimi nimekaa palee
 
Dua la kuku hilo.
 
Hayo siyo maombi ni uchawi kabisa, yaani unaroga kwa dhamira!
Na hili ni moja ya tatizo kubwa lililopo vichwani mwa waafrika, KUWAZA UCHAWI TU, YAANI KILA JAMBO ATAHUSISHA UCHAWI.

Binafsi namshukuru sana Mungu sikukulia kwenye imani hiyo, kwetu paka akilia nje usiku tunachukulia huyo ni paka tu, na mtu akiugua tuliamini zaidi vipimo vya maabara/hospital.

Tofauti na wewe ambaye neno UCHAWI limekuwa ni sehemu ya meno yako
 
Club African ikiyofungwa na yanga ilikuwa dhaifu hii ya Sasa imebadilika sana ,AZAM anao mlima mkubwa kuliko team zote .
Heko kwa kuliona hilo.

Iko kazi azam f wanapaswa kufanya, but for now its too late.

The should focus on LigiKUU pekee.
 
Duh....!
 
Acha uchawi mkuu,hizo timu sio zenu mnajipa umuhimu na chuki kwa vitu vidogo tu,Hakika Dua mbaya humrudia aliyeiomba.
 
Acha uchawi mkuu,hizo timu sio zenu mnajipa umuhimu na chuki kwa vitu vidogo tu,Hakika Dua mbaya humrudia aliyeiomba.
Dua ya haki inapokelewa. Nyie ndio washauri wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…