Azam FC hatoingia Makundi CAFCC, Club Africain Kizingiti

Waandishi na wachambuzi ambo kutwa kucha ni kukatisha tamaa timu zetu, naomba mtupishe mwende huko ktk nchi zilizoendelea kisoka. Mlisema na kuitabiria mabaya yanga lakini ikafika fainali kombe la shirikisho. Kwahiyo hata Azam wanaweza kufika fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…