namwakalima
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 458
- 260
Micho anaenda kuchukua nafasi ya Shakes Mashaba baada ya Afcon.Wamechelewa sana kuchukua uamuzi huo. Wale hawakuwa makocha bali waganga njaa tu.
Azam FC wamchukue Pluijim au Micho wa The Craines
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Micho anaenda kuchukua nafasi ya Shakes Mashaba baada ya Afcon.Wamechelewa sana kuchukua uamuzi huo. Wale hawakuwa makocha bali waganga njaa tu.
Azam FC wamchukue Pluijim au Micho wa The Craines
Kocha yeyote anayetaka kuharibu carrier yake aje Tanzania.
Kali Ongara hawezi....Wampe timu Kali Ongara
Haiwezi kwani anaibeba mgongoni ile sio Ndala FC ambayo hawaamini kochaKali Ongara hawezi....
Ile timu ni kubwa sana. Imagine Stewart Hall aliikimbia..... Kwa visingizio vya ajabu ajabu.
Babu Kim Paulsen ndiye anawafaaWamchukue plujini wa yanga atawafaa sana
Unanipa shaka kidogo! Yaani Saad Kawemba ni chanzo cha Azam FC kutofanya vizuri?Tatizo kubwa la Azam FC ni CEO wao Sad Kaemba kama sijakosea jina lake. I do not see kama he fits for the job. Azam FC wamewekeza sana kwahiyo hawanabudi kusajiri wachezaji na makocha wa viwango vya juu. Kigezo cha kwanza kwa professionals lazima awe anachezea timu ya taifa lake na si vinginevyo if they real serious na uwekezaji kwenye football club businesses.
Haiwezi kwani anaibeba mgongoni ile sio Ndala FC ambayo hawaamini kocha
Mpaka mzungu wa watu mnamlazimisha cheo ambacho hakikuwa katika mahesabu yake
Rudi kwenye mada ya Azam FC wewe Madeni FC..!
Inaonekana Babu Hans amewasababishia Ukavu wa Makombe pale Matopeni hadi mnamchukia kiasi kwamba hamtaki hata kuuona uso wake....
Mlitarajia tutamfukuza arudi kwao?
Hapana! Tumemuweka karibu ili aendelee kuwapa tumbo joto kila aonekanapo uwanjani!
Kama anawatisha inabidi mukwepeshe sura. [emoji23]
Binafsi hatufahamiani kabisa na Saad Kawemba na personally simchukii yeye as an individual , mimi ni mpenzi wa vitu vya kitanzania sana na mpenzi wa kati ya timu zetu kongwe nchini. Pamoja na kuwa mpenzi wa hiyo timu kongwe, binafsi kama mtanzania mzalendo na mwanamichezo sipendezwi na mifumo ya kizamani ya uendeshaji wa timu zetu hasa hizi kongwe. Kwahiyo ujio wa Azam FC ktk soka letu kwangu yalikuwa ni mapinduzi na nilitegemea wangekuja kufanya kweli lkn as time goes on, nimeshuhudia mkombozi/change agent wetu (Azam FC) akideteriote year after year. Saad ni CEO wa hii team, in my view haijarishi kama ni yeye anasajiri makocha au wachezaji, kama mshauri mkuu wa sponsor/mmiliki wa timu, kama timu inafanya vibaya, he must take full responsibilities na awajibike. Like I said it before, ninaifuatilia sana Azam FC pamoja na watendaji wake kwa wema thus why I was even convinced kuomba hata uanachama but I couldn't kwa sababu sikujua ni namna gani unaweza kujoin. Otherwise I like Azam FC as football club.Unanipa shaka kidogo! Yaani Saad Kawemba ni chanzo cha Azam FC kutofanya vizuri?
Unamaanisha hata akija Kocha yeyote pale Azama, haitofanya vyema mpaka saad kawemba aondolewe?
Acha utani mkuu! Kama unabifu naye binafsi naona ni wakati muafaka ukamfuata na mkayamaliza.
Saad hasajili wachezaji
Saad hasajili makocha
Saad hausiki na Ufundi
Saad hausiki directly na utendaji & performance ya Klabu.
Kama una uhakika kuwa yeye huwa anahusika mpja kwa moja kuscout wachezaji, kuajili Makocha, tupe ushahidi hapa ili tuamini ukisemacho. Vinginevyo si kweli ulisemalo
Sikuridhia aslan, wachezaji wana lao jambo. Haiingii akilini mfungaji kuweka mbwembwe pahala pa kufunga halafu anasingizia mfumo, HATA KUFUNGA BASI et MFUMO!!!!!!!!!!!!!!? Huyo Kali ataifikisha wapi timu kimataifa? Niliisha toa rai kuwa pana watu hapo Azam walichokifuata ni noti tu lakini Usimba na Uyanga umo ndani yao.Uongozi wa Klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati AZAM FC Leo Limesimamisha Benchi zima la ufundi la Timu hiyo linaloongozwa na Kocha mkuu Mhispania Zeben Hernandez kutokana na Mwenendo mbovu wa Timu
source AZAM TWO
My Take: Ni jambo zuri Kwani kwa Uwekezaji ule Haiwezekani Wapinzani wetu wawe Stendi, Majimaji, Mbao nk.
Nafikiri sasa Watumie Mechi za Mapinduzi kama Pre-Season kwa ajili ya FA ili kumantain Uwakilishi wa Kimataifa, Ligi kuu kwa sasa ni kama Tumechelewa
=====
Azam FC imemtimua Kocha wake Mkuu, Zeben Hernandez Zeben na makocha wengine raia wa Hispania, wametimuliwa kazi leo baada ya Azam FC kwenda mwendo wa kusuasua.
Azam FC iko katika nafasi ya nne ikiwa na pointi 27 baada ya kucheza mechi 17.
Katika mechi 17 za Ligi Kuu Bara, Azam FC imechinda mechi saba, imepoteza nne na sare sita, hali ambayo wazi inaonekana kutoufurahisha uongozi wa Azam FC hata kidogo.
Kweli mkuu, ipo haja ya mwenye timu kuanza kuwaangalia viongozi wa timu kwani wanafanya mambo yale yale ya Simba na Yanga kwani wengi wao wametoka huko huko.Binafsi hatufahamiani kabisa na Saad Kawemba na personally simchukii yeye as an individual , mimi ni mpenzi wa vitu vya kitanzania sana na mpenzi wa kati ya timu zetu kongwe nchini. Pamoja na kuwa mpenzi wa hiyo timu kongwe, binafsi kama mtanzania mzalendo na mwanamichezo sipendezwi na mifumo ya kizamani ya uendeshaji wa timu zetu hasa hizi kongwe. Kwahiyo ujio wa Azam FC ktk soka letu kwangu yalikuwa ni mapinduzi na nilitegemea wangekuja kufanya kweli lkn as time goes on, nimeshuhudia mkombozi/change agent wetu (Azam FC) akideteriote year after year. Saad ni CEO wa hii team, in my view haijarishi kama ni yeye anasajiri makocha au wachezaji, kama mshauri mkuu wa sponsor/mmiliki wa timu, kama timu inafanya vibaya, he must take full responsibilities na awajibike. Like I said it before, ninaifuatilia sana Azam FC pamoja na watendaji wake kwa wema thus why I was even convinced kuomba hata uanachama but I couldn't kwa sababu sikujua ni namna gani unaweza kujoin. Otherwise I like Azam FC as football club.
Hakuna Kocha aliyepewa muda na Azam kama Stewart Hall.Kocha anaeiwezea Azam ni Stewart Hall,sitashangaa kama watamrudisha.
Viongozi azam ndii tatizo,si wa kweli wanamdanganya mmliki ,asiposhtuka Azam itakua timu ya kawaida tuKweli mkuu, ipo haja ya mwenye timu kuanza kuwaangalia viongozi wa timu kwani wanafanya mambo yale yale ya Simba na Yanga kwani wengi wao wametoka huko huko.