Abul Aaliyah
JF-Expert Member
- Nov 8, 2016
- 7,718
- 5,899
Laana ya udini itaendelea kuwaandama mpaka waungame na kumkiri Kristo kuwa ndiye Bwana na mwokozi wa maisha yao
Wamchukue Mgunda.Kwa misimu mingi klabu ya Azam FC inahangaika sana kupata kocha atakayeifanya Azam iwe klabu tishio uwanjani.
Kwa maoni yangu kuna makocha wawili wazawa ambao wakipewa hii timu ya Azam wanaweza kuiletea mafanikio makubwa sana.
1. Fred Felix Minziro "Kataraiya Majeshi Baba Isaya"
Minziro ni moja ya makocha bora sana kwa sasa kwenye ligi yetu ya NBC. Akipewa timu ya Azam na wachezaji waliopo kwa sasa anaweza kufanya "kitu cha kuonekana".
2. Meck Mexime
Mexime ameibadilisha Kagera sugar kwa kipindi kifupi sana na "ameifufua".
Azam FC nawashauri Januari hii mpeni timu mmoja wa makocha hao. Lakini pia itakua faida kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao 23/24 maana msimu huu wa 22/23 tayari mmeonekana kufeli pakubwa.
Kwa sasa Azam haina kocha anayemzidi uwezo Minziro wala Mexime.
View attachment 2477530View attachment 2477531
🤣🤣🤣Pep mnene ila anaweza kuwafaa.Wamchukue Mgunda.
Kwani nasema uongo?Wewe ni mpumbavu kabisa.
Kuna kitu amekuonyesha Simba ndani ya mda mfupi anaweza akawafaa.🤣🤣🤣Pep mnene ila anaweza kuwafaa.
Mgunda alitaka kuishusha CoastalKuna kitu amekuonyesha Simba ndani ya mda mfupi anaweza akawafaa.
Coast alikuwa na resources zipi ukifannisa na Azam? Unapotaka kumlaumu kocha angalia resources alizokuwa nazo na mazingira yanayo mzunguka hata kwa Simba Mgunda kajitahidi kuifikisha pale.Mgunda alitaka kuishusha Coastal
Mwambusi alionyesha ubora wake kwa resources hizo hizo ndogo akiwa Mbeya City, Mexime anaonyesha ubora kwa resources hizo hizo ndogo akiwa Kagera, na hata Minziro ni hivyo, yeye Mgunda alishindwa vipi mpaka timu kucheza play off mara mbili chini yake.Coast alikuwa na resources zipi ukifannisa na Azam? Unapotaka kumlaumu kocha angalia resources alizokuwa nazo na mazingira yanayo mzunguka hata kwa Simba Mgunda kajitahidi kuifikisha pale.
Matola ni kocha msaidizi wa kudumu wa simba. Lakini za chini zinasema yeye ndiye mwenyekiti wa kamati ya ufundi! Huku Katibu wake nasikia ni Gadiel Michael.Hata matola anafaa pale azam
Basi anajua kuhamasisha, 🤣🤣 Wakati wa mzungu aliekuwa anacheza vizuri yule kapten na Kipre, baada ya mzungu team nzima ikaamka na kupata matokeoKushinda mechi kuna mambo mengi yanachangia ikiwemo uwezo binafsi wa mchezaji. Ongala hana mbinu, anabebwa na uwezo wa wachezaji.
Kwani Mgunda hajawahi kuonyesha ubora wake akiwa Coastal Union.?Mwambusi alionyesha ubora wake kwa resources hizo hizo ndogo akiwa Mbeya City, Mexime anaonyesha ubora kwa resources hizo hizo ndogo akiwa Kagera, na hata Minziro ni hivyo, yeye Mgunda alishindwa vipi mpaka timu kucheza play off mara mbili chini yake.
Minziro msimu wake wa kwanza akiwa Geita Gold amemaliza nafasi ya 4, amecheza hatua ya awali CAF CC akatolewa kwa tofauti ya goli 1.Kwani Mgunda hajawahi kuonyesha ubora wake akiwa Coastal Union.?
Mbeya City ni timu ya jiji ina uhakika wa posho na mishahara na sio Coastal ya kuunga unga huwezi zifananisha.
Mexime alikuwa kwenye timu ya kampuni ya sukari nao hawanaga tatizo la posho na mishahara huwezi fananisha na Coastal.
Minziro alifikia mafanikio yapi ambayo yame mzidi Mgunda mpaka sasa.
Ninapo zungumzia resources na maanisha mishahara na posho kwa wakati, mazingira mazuri ya wachezaji na kocha mwenyewe na usajili wa wachezaji.
Mambo ni mengi sawa, hata kama unanunua mechi ila "boli lazima lionekane likitembea uwanjani".Kwa Tanzania..mambo Ni magumu sio uwekezaji pekee..kwa mechi za ndani Kuna kununua mechi flani flani ili kubaki juu..kwa mechi za kimataifa lazima ufanye figisu(kutumia vizuri uwanja wa nyumbani)
Kwani aliyeifikisha Simba Round makundi ya michuano ya mabingwa CAF ni nani?Minziro msimu wake wa kwanza akiwa Geita Gold amemaliza nafasi ya 4, amecheza hatua ya awali CAF CC akatolewa kwa tofauti ya goli 1.
Kally siyo Mtanzania.Kally mbona nae mzawa,
Inawezekana kazaliwa tz lakini sio raia wa tzKally mbona nae mzawa,
Mtu hajafikisha hata mechi 10 hapo kagera mshaanza kusema sana. Tulia amalize msimu.Meck Mexime
Mexime ameibadilisha Kagera sugar kwa kipindi kifupi sana na "ameifufua".