Azam FC na Dabo habari imeisha. He will be fired upon arriving in Tanzania

Azam FC na Dabo habari imeisha. He will be fired upon arriving in Tanzania

Danielmwasi

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2021
Posts
2,134
Reaction score
3,834
I said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager.

Azam FC and Dabo's business is over.

1724522797300.png
 
Shida Moja ya Dabo ni kibri jamaa sio msikivu kabisa yule msaidizi wake mwenye kadesa ka Forza huwa amekaa tu huoni hela heka kama Gamond na ndugu yake pale yanga au hata fadlu na wenzake ye Dabo utaona mwanzo mwisho peke yake kanuna
 
I said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager.

Azam FC and Dabo's business is over.

View attachment 3078346
Wafukuze Timu nzima.Hiyo Azam inatakiwa kuwa na wazawa ndio wataipambania ila sio hao wapuuzi wa kuokoteza huko Colombia na upuuzi mwingine
 
Back
Top Bottom