Azam sio shida kocha tu maana huyu sijui ni kocha wa ngapi, uongozi wa juu pia lazima kuwajibika huwezi kuwa kiongozi miaka na miaka na kupata kila kitu ukashindwa kuisogeza team mbele ni time ya kupisha watu wengine wenye maono tofauti mtu asiyekuwa na uyanga au usimba na hata kama anao basi awe professional. Man city ilikuwa team ya kawaida tu ilikuwa kushuka na kupanda ndio kazi yake, kaja mtu kaweka mzigo ndani ya jini linatawaliwa na Man u, kaweka team, malengo investment ya kutosha leo wako wapi. Man u wanataka kuiga, iweje team inapewa kila kitu, facility nzuri mwenye team ana uwezo lakini ikashindwa kufanya lolote. Kwa hili Azam kama kweli wako serious basi kuachia madaraka wenyewe, wakiachwa basi juwa tajiri mwenyewe yuko fine na katimiza malengo yake ya kutolewa kila siku.