Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
wanamlipa wao?I said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager.
Azam FC and Dabo's business is over.
View attachment 3078346
Sema kwasababu wa 'KULE' ndio maana haguswi.Azam CEO ndio tatizo
Kapewa timu sababu kafuga ndevu.Azam hawajawahi kuwa serious kwenye ishu ya makocha, kocha anapewa timu halafu hana Leseni A halafu eti msaidizi ana Leseni A. Upuuzi mtupu.
popat pia atapewa kazi nyingine.Kapewa timu sababu kafuga ndevu.
Ujinga ujinga tu ...
Nimeumia sana Ingawa Yanga yangu imepiga mtu 6.
popat pia atapewa kazi nyingineAzam CEO ndio tatizo
Ile Sijida kubwa haujaionaKapewa timu sababu kafuga ndevu.
Ujinga ujinga tu ...
Nimeumia sana Ingawa Yanga yangu imepiga mtu 6.
ππ hakana malengoHako katimu ni katimu ka kuzugia tu. Hakana impact yoyote.
saa moja kuswali ππIle Sijida kubwa haujaiona
Fundi wa kukata maunoπAzam ildhani imefanikiwa sana kwa kumrubuni Fei Toto kukiuka taratibu. Kiko wapi sasa.
Na wala sikalaumu ndo uwezo wake ulipoishiaππ hakana malengo
Azam....I said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager.
Azam FC and Dabo's business is over.
View attachment 3078346
hajapewa timu kwa ajili ya ndevu,ni kocha mwenye uwezo mkubwa sana wa kufundisha academy lakini sio timu inayoshiriki mashindano ya klabu bingwaKapewa timu sababu kafuga ndevu.
Ujinga ujinga tu ...
Nimeumia sana Ingawa Yanga yangu imepiga mtu 6.
Wafukuze Timu nzima.Hiyo Azam inatakiwa kuwa na wazawa ndio wataipambania ila sio hao wapuuzi wa kuokoteza huko Colombia na upuuzi mwingineI said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager.
Azam FC and Dabo's business is over.
View attachment 3078346