Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Upon his arrival not upon arrivingI said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager.
Azam FC and Dabo's business is over.
View attachment 3078346
no difference,Upon his arrival not upon arriving
Makocha wangapi wamepita azam tangu 2008?..wote walikua na sijida?azam dini ina mfelisha sana. achague kazi au Dini
popat na board nzima watu wa sijida wapo kuwaajari ndugu zao.. wala sio kucheza mpiraMakocha wangapi wamepita azam tangu 2008?..wote walikua na sijida?
azam dini ina mfelisha sana. achague kazi au Dini
Hakuna Kocha humu.I said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager.
Azam FC and Dabo's business is over.
View attachment 3078346
hivi unajua alitaka kupigana na mashabiki wa azam πππHakuna Kocha humu.
Bora kutoka kiume kama Simba pale Mohammed v kuliko kutoka mapema,angetolewa na Pyramids lawama zisingekuwepo maana ubora ungeamua.......Soka wanalocheza Azam watagawa point tatu kwenye timu nyingi NBCPL,Azam haina uwezo wa kufungua timu inayopaki basi muda wote sasa hapo kuna timu kweli?Ila tuseme tu ukweli! Hata kama ingetokea wakawatoa hao APR, badi wangekutana na balaa ya Waarabu wa Pyramid! Haki ya nani wasingevuka na hayo masihara yao.
Kocha ana ndonya unategemea nini hapo.I said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager.
Azam FC and Dabo's business is over.
View attachment 3078346
Zamu yake sasa kujifukuzaAzam CEO ndio tatizo
Dube hakuwa mjingaI said this before. Azam FC will part ways with Dabo. Azam FC fans and members wrote letters saying they do not have confidence in Dabo as a manager.
Azam FC and Dabo's business is over.
View attachment 3078346
boss afukuze wote aanze upya project ime fail.Azam sio shida kocha tu maana huyu sijui ni kocha wa ngapi, uongozi wa juu pia lazima kuwajibika huwezi kuwa kiongozi miaka na miaka na kupata kila kitu ukashindwa kuisogeza team mbele ni time ya kupisha watu wengine wenye maono tofauti mtu asiyekuwa na uyanga au usimba na hata kama anao basi awe professional. Man city ilikuwa team ya kawaida tu ilikuwa kushuka na kupanda ndio kazi yake, kaja mtu kaweka mzigo ndani ya jini linatawaliwa na Man u, kaweka team, malengo investment ya kutosha leo wako wapi. Man u wanataka kuiga, iweje team inapewa kila kitu, facility nzuri mwenye team ana uwezo lakini ikashindwa kufanya lolote. Kwa hili Azam kama kweli wako serious basi kuachia madaraka wenyewe, wakiachwa basi juwa tajiri mwenyewe yuko fine na katimiza malengo yake ya kutolewa kila siku.