Azam FC ni sikio la kufa ,hawajui hitaji lao nini asa ukiacha kukamia Simba na Yanga

Umeeleweka shabiki lialia wa lambalamba FC
 
Kilicho wagharimu Azam ni muda mfupi kucheza baada ya kutoka kucheza mechi ngumu.

Ata Simba angekua anacheza leo na Coast, Simba wangepoteza au kutoa sare.
Azam haina mjomba ndio maana amecheza back to back.
Hakuna kitu kama iko, Jamaa ni wakamiaji tu
 
Kama imekuwa timu ya mechi mbili tu inashikaje nafasi ya tatu au ya pili kila msimu
Angalia kuna timu gani chini ya kuwazuia Azam endapo wangewekeza nguvu na jitihada zao?? Piga hesabu alama alizodondosha kwa timu daraja la chini kisha angalia angekuwa na alama ngapi? Ukiacha tu alama za Simba na Young Africans
 
Hana ubavu zaidi ya hapo
 
Wasemaji na viongozi wao waliwai sema kuwa ukitoa Young Africans na Simba kubebwa basi wao wanakuwa mabingwa,, Asa ata tukizitoa izo timu 2 unaona anaweza kuwa bingwa kirahisi ivo Kama mechi izi anadondosha ivo alama
 
Hawana kamati hao kumbuka mdau
 
Azam ni tawi la kolowizard japo kelele za mitandaoni ziliwachosha wachezaji wakafanya kweli kinyume na mapenzi ya bosi wao. Usikute wachezaji walikatwa posho ndo maana jana vs Namungo wakacheza ndondo cup style.
 
Na namungo nao walikatwa posho coz nao mnasema ni tawi la simba?
 
Azam ni tawi la kolowizard japo kelele za mitandaoni ziliwachosha wachezaji wakafanya kweli kinyume na mapenzi ya bosi wao. Usikute wachezaji walikatwa posho ndo maana jana vs Namungo wakacheza ndondo cup style.
Watakuwa waliber goal goal wapate pesa zao walkzokatwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…