redio
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 5,813
- 12,921
Kama Mechi zingechezeshwa bila upendeleo Simba ingekua Nyuma ya Azam katika msimamo wa Ligi.
Mechi ya kwanza na Azam , Simba alipata Goli mbili za Offside, Mechi na Dodoma Jiji Simba alipewa penaly ya Mchongo, Mechi na Singida Refa ana haribu mechi kwa kuipendelea Simba, Mechi na JKT simba wanapewa Penalty ya Mchongo, Mechi na Namungo Simba wanafaidika na Uhuninwa Refa, Mechi na Mashujaa Aimba wana nufaika na uhuni wa refa n. K
Simba haikustahili kuwa nafasi ya pili, ni mambo ya kubebana yaliyo iweka apo, Yaani ni Tembo kawekwa nuu ya mti.