FK21
JF-Expert Member
- May 27, 2019
- 8,600
- 10,760
Tubet mimi Azam unaweka niniAzam hana ubavu kwa Yanga, hata ukisema tufatilie hizo records, sasa mie ndo nakuambia Yanga atashinda tena ndani ya dkk 90, afu huo mchezo utakavyokua utakuja uniambiee.