Azam Fc Vs Yanga, 12/06/2023, Match ya kisasi, Ubabe na heshima

Azam hana ubavu kwa Yanga, hata ukisema tufatilie hizo records, sasa mie ndo nakuambia Yanga atashinda tena ndani ya dkk 90, afu huo mchezo utakavyokua utakuja uniambiee.
Tubet mimi Azam unaweka nini
 
Azam hana ubavu kwa Yanga, hata ukisema tufatilie hizo records, sasa mie ndo nakuambia Yanga atashinda tena ndani ya dkk 90, afu huo mchezo utakavyokua utakuja uniambiee.
Unatumia vigezo vipi kusema Azam atafungwa ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…