mzee wa bwaksi
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 2,255
- 3,972
Wakuu herry ya Xmas...
Ishu ya Feitoto kutimkia zake Kwa matajiri wa chamazi imebuma. Azam wamekosea sehemu, kuvujisha taarifa za Feitoto kabla dili lao la usajili kukamilika, imewafanya Yanga wapanic na kumtafuta mchezaji huyo Kisha wamempa Feitoto kiwango ambacho angepewa Azam hivyo kumfanya mchezaji kusalia Yanga.
Azam wajilaumu wenyewe kwa kuzichanga vibaya karata zao kwani wamewapa room Yanga yakujua nini atapata huko Azam Kisha wao wameamua kumtimizia..
Sijui viongozi wa Azam walishindwa kuling'amua hili mapema kuwa endapo Yanga watapata taarifa za Feitoto kujiunga na Azam, kisha wakamboreshea maslahi basi wao hawana Chao kwani ni lazima mchezaji achague kuendelea pale ambapo amepazoea na anayajua vizuri mazingira yake ya kazi..
Tuwapongeze Azam maana wamesaidia kuongeza thamani na maslahi ya Feitoto huko Yanga..
Mikia mpooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Povu ruksaa