Azam FC wajilaumu wenyewe kwa kumkosa Feitoto

Azam FC wajilaumu wenyewe kwa kumkosa Feitoto

mzee wa bwaksi

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2021
Posts
2,255
Reaction score
3,972
Wakuu herry ya Xmas...

Ishu ya Feitoto kutimkia zake Kwa matajiri wa chamazi imebuma. Azam wamekosea sehemu, kuvujisha taarifa za Feitoto kabla dili lao la usajili kukamilika, imewafanya Yanga wapanic na kumtafuta mchezaji huyo Kisha wamempa Feitoto kiwango ambacho angepewa Azam hivyo kumfanya mchezaji kusalia Yanga.

Azam wajilaumu wenyewe kwa kuzichanga vibaya karata zao kwani wamewapa room Yanga yakujua nini atapata huko Azam Kisha wao wameamua kumtimizia..

Sijui viongozi wa Azam walishindwa kuling'amua hili mapema kuwa endapo Yanga watapata taarifa za Feitoto kujiunga na Azam, kisha wakamboreshea maslahi basi wao hawana Chao kwani ni lazima mchezaji achague kuendelea pale ambapo amepazoea na anayajua vizuri mazingira yake ya kazi..

Tuwapongeze Azam maana wamesaidia kuongeza thamani na maslahi ya Feitoto huko Yanga..

Mikia mpooooo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Povu ruksaa
 
Mikia mpooooo
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
Povu ruksaa
sasa mikia inaingiaje tena hapa mkuu?
 
Mleta mada hujitambui kwenye kikosi cha kwanza hayupo kwenye benchi hayupo bado unaleta ugoro wako
Umelewa wanzuki kama jina lako mzee wa bwax?
 
Hujui kitu kumbe. Hii ni zanzibarian emancipation. Hii kitu azam imetumika tu kuboresha maaslahi ya mzanzibar huyu. Wazenj wanaitumia fursa vzr sana. Na bado pia kwenye sekta nyingine mtaona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] inaitwaje mkuu???
 
Jambo la msingi ni yeye kupata maslahi sahihi kulingana na ubora wake kwenye soka kwa sasa. Haijalishi maslahi hayo bora atayapata kwenye timu gani. Iwe Azam, Yanga, Simba, au hata timu ya nje ya nchi.
Porojo nyingine tuziweke pembeni.
 
Hii taarifa ni chungu sana kama nyongo kwa Mikia na Kuna uzi humu nilitoa tahadhari mapema sana..
 
Mleta mada hujitambui kwenye kikosi cha kwanza hayupo kwenye benchi hayupo bado unaleta ugoro wako
Umelewa wanzuki kama jina lako mzee wa bwax?
Amepumzishwa tu wengine waanakiwasha vile vile! Supu kaleta ujuaji kafunga Mayele kawatuliza!
 
Na hatumtaki huyo macho kulembua akwendee zake tu [emoji114][emoji114][emoji114]
 
Back
Top Bottom