Azam FC wajilaumu wenyewe kwa kumkosa Feitoto

Azam FC wajilaumu wenyewe kwa kumkosa Feitoto

Hujalazimishwa kuiamini hii taarifa mkuu..
Achana na ilo boya la umbumbuni lina hasira kali maana Fei toto angeenda Azam wao ndio lingekuwa kombe lao sasa wamepigwa kote kote na mabwana zao, wamemkosa fei toto na uwanjani wamechezea kichapo lazima wachanganyikiwe
 
Back
Top Bottom