Mtanzanias
JF-Expert Member
- Jul 30, 2021
- 1,747
- 3,725
Achana na ilo boya la umbumbuni lina hasira kali maana Fei toto angeenda Azam wao ndio lingekuwa kombe lao sasa wamepigwa kote kote na mabwana zao, wamemkosa fei toto na uwanjani wamechezea kichapo lazima wachanganyikiweHujalazimishwa kuiamini hii taarifa mkuu..