ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 16,871
- 39,881
Leo nimetazama mechi ya Azam dhidi ya Singida BS nimeshangaa Azam akiweka akiba ya wachezaji wake muhimu Kwa ajili ya Alhamis dhidi ya Yanga
Mechi zote za ligi Zina hadhi sawa, yaani Azam yupo radhi afungwe na Singida BS halafu akamie Simba na Yanga apate sare au ushindi wa taabu nae atambe
Yaani Azam anaacha points ambazo angechukua kirahisi eti anajiandaa dhidi ya Yanga
Azam anaitazama mechi ya Yanga kama Finali CAFCL
Sasa atapigwa tena na hiyo tarehe 10