minzakunza
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 193
- 444
CAS tunaendelea vizuri tu, tuombe Mungu ya shirikisho inakujaKama mnaitaka sana 5imba, achaneni na CAS tukipiga tarehe yoyote itakayopangwa na kina MgUTO.
Hao hao kina Mutale watawalaza na viatu.
CAS tunaendelea vizuri tu, tuombe Mungu ya shirikisho inakujaKama mnaitaka sana 5imba, achaneni na CAS tukipiga tarehe yoyote itakayopangwa na kina MgUTO.
Hao hao kina Mutale watawalaza na viatu.
Mna uhakika wa kupata matokeo kwa sababu ya mambo ya udhamini na hata hamuoni aibu kutamka maneno hayo.Hata wakipumzishwa wana uhakika wa kupata matokeo, wao wamekubali kuchapika ili waje waifunge Yanga hizo akili au matope
Yanga imemkimbia Simba mara ngapi kwenye mashindano ya Mapinduzi miaka ya hivi karibuni ikiwemo kujivunja ile mechi na APR baada ya kuona mnyama anawatamani? Yanga ilimkimbia Simba kwenye kombe la Muungano msimu uliopita au misimu miwili iliyopita.CAS tunaendelea vizuri tu, tuombe Mungu ya shirikisho inakuja
Kama niliweza kujiamini kwenye derby nikasema Simba ikifungwa nipigwe ban ya mwaka mzima, hii si ndiyo cha mtoto kabisa.Active kaa active kumpiga ban huyu mbumbumbu.
La kufurahisha zaidi Azam na utopwinyo ndio waliliaibisha taifa huko CAFCL kwa kutolewa mapema 😂😂...Azam anaitazama mechi ya Yanga kama Finali CAFCL
Kuna makubaliano yamefanyika kuwa Azam apambane kuifunga Yanga kwa manufaa ya Simba. Azam ndio timu pekee angalau inayoweza kupunguza point Yangawanapoteza point 3 ili waje wapambane point 3 yanga