Mimi nasubiri tarehe 9 niwahi kwa Mkapa Stadium nimuone Kolo Wizard na Wazee wafupi wakichezea kokiTunawasuri Azam Complex Chamanzi. Camera zipo nyingi zimeongezwa
Kwanini Azam Hawana mfululizo wa matokeo mazuri?Leo nimetazama mechi ya Azam dhidi ya Singida BS nimeshangaa Azam akiweka akiba ya wachezaji wake muhimu Kwa ajili ya Alhamis dhidi ya Yanga
Mechi zote za ligi Zina hadhi sawa, yaani Azam yupo radhi afungwe na Singida BS halafu akamie Simba na Yanga apate sare au ushindi wa taabu nae atambe
Yaani Azam anaacha points ambazo angechukua kirahisi eti anajiandaa dhidi ya Yanga
Azam anaitazama mechi ya Yanga kama Finali CAFCL
Sasa atapigwa tena na hiyo tarehe 10View attachment 3295117
Yanga ina quality playersKesho pia urudi hapa ulalamikie wachezaji wa Yanga watakaopumzishwa dhidi ya Coastal.
Azam kwa sasa hawana cha kupoteza wala kupata maana nafasi ya ubingwa wameshaikosa. Sasa hivi wanachezea heshima na kulinda nafasi yao ya kuwakilisha taifa mwakani katika CAFCC.
Singida ilipowapumzisha wachezaji wake katika mechi dhidi ya Yanga mkaja na utetezi kwamba kocha asiingiliwe, leo mnalialia Azam kupumzisha wachezaji. Mnaogopa nini au mlishawapanga hiyo Yanga B wakawavunje?Yanga ina quality players
Yani unajifariji kuwa Yanga atapoteza mechi tenaSingida ilipowapumzisha wachezaji wake katika mechi dhidi ya Yanga mkaja na utetezi kwamba kocha asiingiliwe, leo mnalialia Azam kupumzisha wachezaji.
Yanga ikimfunga Azam 10/04, nipigwe ban ya mwezi mmoja.
Hapa umewaonea Azam wamefungwa sababu ya uwezo key players wao wamecheza almost woteLeo nimetazama mechi ya Azam dhidi ya Singida BS nimeshangaa Azam akiweka akiba ya wachezaji wake muhimu Kwa ajili ya Alhamis dhidi ya Yanga
Mechi zote za ligi Zina hadhi sawa, yaani Azam yupo radhi afungwe na Singida BS halafu akamie Simba na Yanga apate sare au ushindi wa taabu nae atambe
Yaani Azam anaacha points ambazo angechukua kirahisi eti anajiandaa dhidi ya Yanga
Azam anaitazama mechi ya Yanga kama Finali CAFCL
Sasa atapigwa tena na hiyo tarehe 10View attachment 3295117
Yanga hii ya papatupapatu haina uwezo wa kuifunga Azam hii, usijidanganye. Hata sare hampati. Mnapigwa halafu ghafla utasikia mnaitaka derby.Yani unajifariji kuwa Yanga atapoteza mechi tena
Hapa tunaenda hivi hadi ubingwa
Yanga ina papatu na amekufunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5Yanga hii ya papatupapatu haina uwezo wa kuifunga Azam hii, usijidanganye. Hata sare hampati. Mnapigwa halafu ghafla utasikia mnaitaka derby.
CAS kwenyewe mmeenda kwa kubeep kusikilizia kwanza hizi mechi ngumu zitakuwaje ndiyo maana mpaka leo wanawadai vielelezo au wasipowasikia tena wanawapotezea.
Swali langu hili.Wachezaji gani muhimu hawakucheza? Azam wanacheza utafikiri wajawazito
Jioni ya tarehe 10 utasikia vilio vimeanza vya TUNACHEZA!Yanga ina papatu na amekufunga mara nne mfululizo kutia ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5
Na Bado ukakimbia mechi