FauntesSwali langu hili.
Maana mechi nzima nimeona wachezaji wote wakiwepo na ilikuwa mechi nzuri sana na Azam alielemewa Singida wasingeshinda angelaumiwa sana
Mohamed majeruhi hata mechi na ken gold alidaka Foba na Leo wasingefungwa angekuwa man of the matchGoal keeper Mohamed
Fantes
Sillah
Amefanya sub akawatoa Msindo na lusajo
Sillah ana shida gani?Mohamed majeruhi hata mechi na ken gold alidaka Foba na Leo wasingefungwa angekuwa man of the match
Fantes aliumia mechi iliyopita
Msindo hata mechi ya ken alipigwa sub nadhani ni hisia tu kuwa wanajiandaa na Yanga ndio maana hawakucheza
Kocha ndie anajua tija ya sub maana ye anajua mbinu zakeFauntes
Keeper Mohamed
Sillah
Sub ya Msindo na lusajo ilikuwa na tija Gani?
Silla hata mechi na ken gold hakuimaliza alitoka huenda akawa anawapumzisha sio sababu ya Yanga Bali ukaribu karibu wa mechi angalau wapate recoverySillah ana shida gani?
Azam wamecheza Kwa temper ya chini kama walikuwa wanatunza energySilla hata mechi na ken gold hakuimaliza alitoka huenda akawa anawapumzisha sio sababu ya Yanga Bali ukaribu karibu wa mechi angalau wapate recovery
Kama mnaitaka sana 5imba, achaneni na CAS tukipiga tarehe yoyote itakayopangwa na kina MgUTO.Yanga hizi ndo mechi anapendaga
Na 5imba kuwafunga ni lazima mtakimbia hadi lini? Ipo siku mtawaleta hao kina Mutale, Debora, Ateba, Chasambi na Mpanzu😂🤣
Azam sijui kuna kabinti ka Yanga kalimchomolea maana anakaza mech Vs Yanga na hela juu anawekewaga.....Leo nimetazama mechi ya Azam dhidi ya Singida BS nimeshangaa Azam akiweka akiba ya wachezaji wake muhimu Kwa ajili ya Alhamis dhidi ya Yanga
Mechi zote za ligi Zina hadhi sawa, yaani Azam yupo radhi afungwe na Singida BS halafu akamie Simba na Yanga apate sare au ushindi wa taabu nae atambe
Yaani Azam anaacha points ambazo angechukua kirahisi eti anajiandaa dhidi ya Yanga
Azam anaitazama mechi ya Yanga kama Finali CAFCL
Sasa atapigwa tena na hiyo tarehe 10View attachment 3295117
Tutajie timu yoyote inayoizidi yanga kwenye takwimu zozote zile NBCPLYanga hii ya papatupapatu haina uwezo wa kuifunga Azam hii, usijidanganye. Hata sare hampati. Mnapigwa halafu ghafla utasikia mnaitaka derby.
CAS kwenyewe mmeenda kwa kubeep kusikilizia kwanza hizi mechi ngumu zitakuwaje ndiyo maana mpaka leo wanawadai vielelezo au wasipowasikia tena wanawapotezea.
FUENTES Aliumia mechi na kenFauntes
Keeper Mohamed
Sillah
Sub ya Msindo na lusajo ilikuwa na tija Gani?
We jamaa unajua mpiraIngawa sijaangalia mechi lakini katika jicho la kimpira singida kwa wachezaji alionao anaweza kabisa kumfunga azam hata akitimia
Active kaa active kumpiga ban huyu mbumbumbu.Singida ilipowapumzisha wachezaji wake katika mechi dhidi ya Yanga mkaja na utetezi kwamba kocha asiingiliwe, leo mnalialia Azam kupumzisha wachezaji. Mnaogopa nini au mlishawapanga hiyo Yanga B wakawavunje?
Yanga ikimfunga Azam 10/04, nipigwe ban ya mwezi mmoja.
Hata wakipumzishwa wana uhakika wa kupata matokeo, wao wamekubali kuchapika ili waje waifunge Yanga hizo akili au matopeKesho pia urudi hapa ulalamikie wachezaji wa Yanga watakaopumzishwa dhidi ya Coastal.
Azam kwa sasa hawana cha kupoteza wala kupata maana nafasi ya ubingwa wameshaikosa. Sasa hivi wanachezea heshima na kulinda nafasi yao ya kuwakilisha taifa mwakani katika CAFCC.