Azam FC wanacheza kama wamekata tamaa, na hivi ndo mwanzo wa msimu

We unategemea nini timu ilienda kuokota wachezaji huko Colombia, mara Gambia yaani hata msimu haujaisha. Hii timu inasikitisha.
Azam wamepigwa pale yaani yule mchezaji dk za mwishoni amefanya utoto mpaka unajiuliza kweli huyu professional player au kituko.
 
Katika timu ambayo hata nikisikia wamesajili mvp toka ulaya wala sishtuk na kuogopa ni hii timu haitishi na haitokaa itishe bla bla nyingi watapigwa sana hata na timu za Somalia.
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Azamu wameandamwa, kuna jamaa kasema Azam ni kama mke wa mtu akikunyima huna pa kusemea, sasa hivi wamekuwa wajawazito๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Aliyesema hivyo ana akili sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ