feyzal
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 7,683
- 15,128
SijabetShika moyo Mkeka umechanika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SijabetShika moyo Mkeka umechanika
Wamechana mikekaAzam wachunguzwe, huu mpira wanaocheza leo una viashiria vya kupanga matokeo
ngapingapiMara ya pili leo azam anachana mkeka...
ngoja mvua inyeshe huo uwanja ni sehemu ya kambare kuchezea...🤣Ila uwanja mzuri sana ni mkeka
Wanachocheza Azam wanajua wenyewe afu ni suala la mda tu watamstukia Dabo ni dalali
Zimebaki dakika 3 mpira uishe mtu anaenda kupiga kona anatembea, ubao wa matokeo unasoma 0-0 halafu eti ndio title contender uyo.Au hawamtaki dabo?
Sasa ungeona siku na APR ndo ungechukiaZimebaki dakika 3 mpira uishe mtu anaenda kupiga kona anatembea, ubao wa matokeo unasoma 0-0 halafu eti ndio title contender uyo.
Wachezaji watakuwa wanamgomo, bora timu itoe sare lakini wachezaji wanaonesha kupambana.Zimebaki dakika 3 mpira uishe mtu anaenda kupiga kona anatembea, ubao wa matokeo unasoma 0-0 halafu eti ndio title contender uyo.
Hata makolo wangeanza na timu ngumu hali ingekua kama hii ya azam,waishukuru bodi ya ligi kwa kuwapangia vibondeAzam Kwa usajili walifanya kuwaleta wa Colombia tulidhani watatoa changamoto Kwa Yanga kumbe ndo Iko uji hivi.
Azam fc wamekata tamaa
Wanacheza kama wachovu Kweli kweli.
Azam hawezi kupiga pasi 3 zikakamilika dhidi ya JKT TANZANIA
Sasa ni mapumziko Azam hana hata shoot on wala off target hata 1
Azam hana hata corner 1
Azam FC badili benchi la ufundi mapema wanaweza kushuka daraja kabisa
Azam Kuna shida sehemu, wachezaji wanaonekana wazito kufanya maamuzi, yaani ni kama Bado Wana Fanya mazoezi magumu wakati Ligi imesha Anza.Ila uwanja mzuri sana ni mkeka
Wanachocheza Azam wanajua wenyewe afu ni suala la mda tu watamstukia Dabo ni dalali
Hii ni kabisaAzam Kuna shida sehemu, wachezaji wanaonekana wazito kufanya maamuzi, yaani ni kama Bado Wana Fanya mazoezi magumu wakati Ligi imesha Anza.
Athali za mazoezi magumu ni akili kutaka kufanya kitu lakini misuli ya mwili Bado nyuzi zimekaza Sana.