Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanza lazima, utenganishe azam tv, na azam sport club, hizi ni entity mbili tofauti zinazojitegemaWakuu, nakumbuka mheshimiwa Jakaya Kikwete aliwaasa Azam FC kutoendekeza Usimba na Uyanga kama wanataka kufika mbali zaidi kisoka pale alipoalikwa kama mgeni rasmi miaka zaidi ya saba hivi sasa iliyopita.
Inavoonekana ushauri (wosia) huo wameuweka pembeni ndo maana tunaona sasa ni kama 'academy' hivi.
Fikiria timuatimua ya wachezaji kama akina Manula, TV yao kuupa kipaumbele mchezo wa Simba na Yanga kuliko Azam na timu hizo kwa maana ya kuutangaza. Mechi ya Simba na Yanga itatangazwa na manjonjo kibao takriban wiki moja na zaidi kabla ya siku ya mechi ilhali mechi ya Azam na kati ya timu hizo labda siku moja au mbili tu.
Rejeeni ushauri (wosia) wa mzee Jakaya Kikwete mtafika mbali kisoka.
Kwamba ndiyo maana huwa wanagawa points tu kwa mikiaBoss kubwa lao mikia fc lia lia.
Ndo hapo tunavotofautiana kwa kuegemea Usimba na Uyanga. Huko Ulaya vilabu vikubwa vina TV vilevile mbona hujikita kuonesha timu yao kwa asilimia 70 hivi? Tusidanganyane.Kwanza lazima, utenganishe azam tv, na azam sport club, hizi ni entity mbili tofauti zinazojitegema
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Dah🙂🙂🙂, mkuu hawa Simba na Yanga wajanja mno. Wakiona pana timu inayotishia umaarufu wao wanapandikiza watu wao kuanzi viongozi, makocha mpaka wachezaji na wakiona wanashindwa wanaleta hoja ya nchi kupata Uhuru.
Lazima ujue azam tv inamilikiwa na azam media company limited, Azam sport club co. Limited kwa sasa hawana tv ila wakitaka wanaweza kuanzisha tv yao.Ndo hapo tunavotofautiana kwa kuegemea Usimba na Uyanga. Huko Ulaya vilabu vikubwa vina TV vilevile mbona hujikita kuonesha timu yao kwa asilimia 70 hivi? Tusidanganyane.
Yesss...Kwamba ndiyo maana huwa wanagawa points tu kwa mikia
Kuna Kampuni inaitwa Azam tv na kuna klabu ya mpira waWakuu, nakumbuka mheshimiwa Jakaya Kikwete aliwaasa Azam FC kutoendekeza Usimba na Uyanga kama wanataka kufika mbali zaidi kisoka pale alipoalikwa kama mgeni rasmi miaka zaidi ya saba hivi sasa iliyopita.
Inavoonekana ushauri (wosia) huo wameuweka pembeni ndo maana tunaona sasa ni kama 'academy' hivi.
Fikiria timuatimua ya wachezaji kama akina Manula, TV yao kuupa kipaumbele mchezo wa Simba na Yanga kuliko Azam na timu hizo kwa maana ya kuutangaza. Mechi ya Simba na Yanga itatangazwa na manjonjo kibao takriban wiki moja na zaidi kabla ya siku ya mechi ilhali mechi ya Azam na kati ya timu hizo labda siku moja au mbili tu.
Rejeeni ushauri (wosia) wa mzee Jakaya Kikwete mtafika mbali kisoka.
Tatizo la Azam imekosa succession plan nzuri kutoka kwa CEO bora kabisa kuwahi kutokea katika soka la Bongo.Wakuu, nakumbuka mheshimiwa Jakaya Kikwete aliwaasa Azam FC kutoendekeza Usimba na Uyanga kama wanataka kufika mbali zaidi kisoka pale alipoalikwa kama mgeni rasmi miaka zaidi ya saba hivi sasa iliyopita.
Inavoonekana ushauri (wosia) huo wameuweka pembeni ndo maana tunaona sasa ni kama 'academy' hivi.
Fikiria timuatimua ya wachezaji kama akina Manula, TV yao kuupa kipaumbele mchezo wa Simba na Yanga kuliko Azam na timu hizo kwa maana ya kuutangaza. Mechi ya Simba na Yanga itatangazwa na manjonjo kibao takriban wiki moja na zaidi kabla ya siku ya mechi ilhali mechi ya Azam na kati ya timu hizo labda siku moja au mbili tu.
Rejeeni ushauri (wosia) wa mzee Jakaya Kikwete mtafika mbali kisoka.
Kwani Vilabu vya Ulaya tv zao zina rights za kurusha matangazo ya ligi kuu yoyote ?Ndo hapo tunavotofautiana kwa kuegemea Usimba na Uyanga. Huko Ulaya vilabu vikubwa vina TV vilevile mbona hujikita kuonesha timu yao kwa asilimia 70 hivi? Tusidanganyane.
jamaa anajibu kwa mihemuko sanaKwani Vilabu vya Ulaya tv zao zina rights za kurusha matangazo ya ligi kuu yoyote ?