Azam FC wangeufuata ushauri wa Kikwete yasingewakuta haya.

Kwanza lazima, utenganishe azam tv, na azam sport club, hizi ni entity mbili tofauti zinazojitegema

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Acha wapigike tu......wangekuwa wanakamia mechi zote kama wanavyoikamia Yanga wangekuwa mbali sana,tatizo ni kutofuata misingi yao ya mwanzo na kubaki na akili za wazee (Yanga na Simba)........
 
Kwanza lazima, utenganishe azam tv, na azam sport club, hizi ni entity mbili tofauti zinazojitegema

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Ndo hapo tunavotofautiana kwa kuegemea Usimba na Uyanga. Huko Ulaya vilabu vikubwa vina TV vilevile mbona hujikita kuonesha timu yao kwa asilimia 70 hivi? Tusidanganyane.
 
πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚, mkuu hawa Simba na Yanga wajanja mno. Wakiona pana timu inayotishia umaarufu wao wanapandikiza watu wao kuanzi viongozi, makocha mpaka wachezaji na wakiona wanashindwa wanaleta hoja ya nchi kupata Uhuru.
Dah
Safari kumbe bado ndefu
 
Ndo hapo tunavotofautiana kwa kuegemea Usimba na Uyanga. Huko Ulaya vilabu vikubwa vina TV vilevile mbona hujikita kuonesha timu yao kwa asilimia 70 hivi? Tusidanganyane.
Lazima ujue azam tv inamilikiwa na azam media company limited, Azam sport club co. Limited kwa sasa hawana tv ila wakitaka wanaweza kuanzisha tv yao.

Bakharesa anaongoza makampuni yake kwa professionalism.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Kuna Kampuni inaitwa Azam tv na kuna klabu ya mpira wa
miguu inaitwa Azam FC ni vitu viwili tofauti kibiashara.
 
Tatizo la Azam imekosa succession plan nzuri kutoka kwa CEO bora kabisa kuwahi kutokea katika soka la Bongo.

Saad Kawemba, Huyu genius walimuondoa kwa majungu ya watoto wadogo kama kina Abdul Mohamed wakampa dogo uongozi akavurunda walipomtoa wakaweka yule mswahili Popati.

Kama wanataka kurudi walikotoka waendeleze huu uswahili.

Kama wanataka kusonga mbele wamrejeshe Saad Kawemba yupo mjini hapa hana kazi.
 
Ndo hapo tunavotofautiana kwa kuegemea Usimba na Uyanga. Huko Ulaya vilabu vikubwa vina TV vilevile mbona hujikita kuonesha timu yao kwa asilimia 70 hivi? Tusidanganyane.
Kwani Vilabu vya Ulaya tv zao zina rights za kurusha matangazo ya ligi kuu yoyote ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…