Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo basi lingekuwa linaingia uwanjan na kucheza hapo sawa!!! Hata wanunue ndege ubingwa watausikia kwenyewe kipindi cha spot cha redio one period!!
Home » Unlabelled » BASI JIPYA LA AZAM LAWASILI...KAMA LA KLABU KUBWA ZA ULAYA
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: left"]Hakuna Afrika nzima; Basi jipya la wachezaji wa klabu ya Azam FC ya Dar es Salaam, lililowasili nchini juzi likiwa tayari kusafirishwa visiwani Zanzibar ambako timu hiyo imekwenda kushiriki Kombe la Mapinduzi. Hili ni aina ya mabasi ambayo yanatumiwa na klabu za Ulaya kama Manchester United, Bayen Munich na Barcelona ambalo kwa Afrika Azam inaweza kuwa klabu ya kwanza kulimiliki[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
mleta mada muongo au laaa hajui magari.inamaana man u, barcelona,buyern wanatumia mabasi ya kichina?? Je na wenye ndege tp mazembe wameshindwa kununua hili basi la kichina?
Kumbe nawe umeona mkuu, yaani ni kama wanavyoharibu pale uwanja wa Taifa....lolWashachafua choo.
Aha wabongo tena kwa kupenda kunya .choo kipya washafanya uzinduzi:rain:Washachafua choo.
hivi unajua ulichoandika kweli!!!!?? nina wasiwasi ..............