OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
FT Wydad 4-1 Azam
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha walitoka nduki na yule jamaa yao mbavu anatoa macho kama kadondosha shilingi kwenye mchangaHaya ndio madhara ya kujipima ubavu na timu za daraja ya chini unashinda unajiona uko vizuri, ukikutana na timu ya daraja la juu majibu yake ndio haya. Bahati nzuri Wydad wamekuwa waungwana wamechelewa kuwafunga hayo magoli mengi, maana Azam hawachelewi kususia mechi kama mwaka jana.
Ushirikina hadi wakina Pogba washirikina...........tena waarabu wajiandae safari hii Yanga inakuja na jini lonadinyo mbele kwa mbeleTimu zetu bado zinabebewa na ushirikina na Media zaidi ya hapo mashabiki wapumbavu wasio jua mpira usimba na uyanga. hatuna mpira wa maajabu.
Ligi yetu ni ndondocupu iliyochangamuka.
SawaUshirikina hadi wakina Pogba washirikina...........tena waarabu wajiandae safari hii Yanga inakuja na jini lonadinyo mbele kwa mbele
Umeongea kujifariji, Yanga imepata test ya mechi tatuBora Azam,yanga wanacheza na Iringa kaizer chief ya 10 kwenye ligi yao..hainatofauti na kucheza na lipuli ya iringa
Ushirikina hadi wakina Pogba washirikina...........tena waarabu wajiandae safari hii Yanga inakuja na jini lonadinyo mbele kwa mbele
We umesikia wapi machifu wanacheza mpira?Bora Azam,yanga wanacheza na Iringa kaizer chief ya 10 kwenye ligi yao..hainatofauti na kucheza na lipuli ya iringa
Unajielewa kweli..mtu wa Simba anaenda kujifunza nini kwa yanga?Are you sereous?Umeongea kujifariji, Yanga imepata test ya mechi tatu
Timu ya kwanza ni Augsburg inashiriki ligi kuu ujerumani nafasi ya 10
Test ya pili TS Galaxy inashiriki ligi kuu Africa kusini nafasi ya 6
Test ya tatu ni Kaizer Chiefs ambayo inashiriki ligi kuu ya Africa kusini nafasi ya 10
Timu zote ilizocheza na Yanga zinashiriki ligi kuu sio ligi daraja ya chini, Azam kacheza na timu moja tu inayoshiriki ligi kuu tena wapo nafasi ya 6 kazabwa magoli ya kutosha. Endeleeni kuichukulia poa Yanga naona mmegoma kujifunza.