Wydad lachoka? Unafuatilia soka wew ?
Wydad mwaka huu amechoka. Ameshindwa hata ku qualify kucheza champions league.
Pia hata kwenye caf champions league wydad aliishia hatua ya makundi.
Wydad amechoka maana sio kawaida yake kushindwa ku qualify champions league ama kutolewa makundi