Azam FC yachezea koki, yapigwa bao 4-1

Haya ndio madhara ya kujipima ubavu na timu za daraja ya chini unashinda unajiona uko vizuri, ukikutana na timu ya daraja la juu majibu yake ndio haya. Bahati nzuri Wydad wamekuwa waungwana wamechelewa kuwafunga hayo magoli mengi, maana Azam hawachelewi kususia mechi kama mwaka jana.
 
Hahaha walitoka nduki na yule jamaa yao mbavu anatoa macho kama kadondosha shilingi kwenye mchanga
 
Timu zetu bado zinabebewa na ushirikina na Media zaidi ya hapo mashabiki wapumbavu wasio jua mpira usimba na uyanga. hatuna mpira wa maajabu.

Ligi yetu ni ndondocupu iliyochangamuka.
Ushirikina hadi wakina Pogba washirikina...........tena waarabu wajiandae safari hii Yanga inakuja na jini lonadinyo mbele kwa mbele
 
Asante Sana kwa taarifa mkuu Azam timu Hawana Hawa wamepigwa 4 😂😁😁😁😁 Cc ephen_
 
Bora Azam,yanga wanacheza na kaizer chief ya 10 kwenye ligi yao..hainatofauti na kucheza na lipuli ya iringa
 
Azam huwa wanakosea wapi hawa jamaa?.

Okey nadhani kwa upande wa mpira mmiliki aachane na team aiuze, kuingia ubiya na walio serious au ajikite na uwekezaj aliofanya kwenye TV nk, team inampa hasara tu japo anajitutumua kuonyesha hawezi shindwa.
 
Bora Azam,yanga wanacheza na Iringa kaizer chief ya 10 kwenye ligi yao..hainatofauti na kucheza na lipuli ya iringa
Umeongea kujifariji, Yanga imepata test ya mechi tatu
Timu ya kwanza ni Augsburg inashiriki ligi kuu ujerumani nafasi ya 10
Test ya pili TS Galaxy inashiriki ligi kuu Africa kusini nafasi ya 6
Test ya tatu ni Kaizer Chiefs ambayo inashiriki ligi kuu ya Africa kusini nafasi ya 10

Timu zote ilizocheza na Yanga zinashiriki ligi kuu sio ligi daraja ya chini, Azam kacheza na timu moja tu inayoshiriki ligi kuu tena wapo nafasi ya 6 kazabwa magoli ya kutosha. Endeleeni kuichukulia poa Yanga naona mmegoma kujifunza.
 
Unajielewa kweli..mtu wa Simba anaenda kujifunza nini kwa yanga?Are you sereous?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…