Azam FC yachezea koki, yapigwa bao 4-1

Hii ni ishara kuwa Yanga ni bingwa tena
Baada ya kushika nafasi ya pili wakajiona nao ni mabingwa.
Mwingine akajiona yeye ndiyo anauwezo sana anaweza kucheza mpaka na Augsburg.
Kwa hapa Tanzania Yanga hana mpinzani, kwahiyo mesajili ili mchukue NBC, Mapinduzi na FA?
Kwa usajili ule wa Yanga, mtashindwa kuchukua kombe la Champion League?😁😁😁
 
Inanikumbusha Mwaka 1994 Kolo alitia mpira kwapani halftime pale Shamba la Bibi zidi ya Yanga. Hii match nilishuhudia kabisa nikiwa nipo Shule ya Msingi Madenge kule Temeke.
 
Azam huwa wanakosea wapi hawa jamaa?.

Okey nadhani kwa upande wa mpira mmiliki aachane na team aiuze, kuingia ubiya na walio serious au ajikite na uwekezaj aliofanya kwenye TV nk, team inampa hasara tu japo anajitutumua kuonyesha hawezi shindwa.
Nakubali HASIBU la Azam.
 
Acha upuuzi,
Azam kacheza na union tourga, ya 4 kwenye botola na ipo CC na simba, katoka 1-1,
Leo kacheza na Wydad ambae hahitaji kuelezewa
 
Azam huwa wanakosea wapi hawa jamaa?.

Okey nadhani kwa upande wa mpira mmiliki aachane na team aiuze, kuingia ubiya na walio serious au ajikite na uwekezaj aliofanya kwenye TV nk, team inampa hasara tu japo anajitutumua kuonyesha hawezi shindwa.
Hizi ni mechi za trial msimalize maneno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…