F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,137 Reaction score 34,793 Jul 30, 2024 #41 Beberu said: Wydad lachoka? Unafuatilia soka wew ? Click to expand... Wydad mwaka huu amechoka. Ameshindwa hata ku qualify kucheza champions league. Pia hata kwenye caf champions league wydad aliishia hatua ya makundi. Wydad amechoka maana sio kawaida yake kushindwa ku qualify champions league ama kutolewa makundi
Beberu said: Wydad lachoka? Unafuatilia soka wew ? Click to expand... Wydad mwaka huu amechoka. Ameshindwa hata ku qualify kucheza champions league. Pia hata kwenye caf champions league wydad aliishia hatua ya makundi. Wydad amechoka maana sio kawaida yake kushindwa ku qualify champions league ama kutolewa makundi
joseph1989 JF-Expert Member Joined May 4, 2014 Posts 17,420 Reaction score 35,765 Jul 30, 2024 #42 Uzuri Azam wamekataa kujidanganya, hiki ni kipimo kizuri sana kwao na watakuwa wameona mapungufu mengi kabla ya kuanza michuano ya CAF.
Uzuri Azam wamekataa kujidanganya, hiki ni kipimo kizuri sana kwao na watakuwa wameona mapungufu mengi kabla ya kuanza michuano ya CAF.
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Jul 30, 2024 #43 Tajiri Tanzanite said: Unajielewa kweli..mtu wa Simba anaenda kujifunza nini kwa yanga?Are you sereous? Click to expand... Ubishi huu ndo utawabakisha nafasi ya 3 milele...!! Anyway, tumewalipia kisasi cha magoli manne mliyopigwa na Kaizer Chiefs.
Tajiri Tanzanite said: Unajielewa kweli..mtu wa Simba anaenda kujifunza nini kwa yanga?Are you sereous? Click to expand... Ubishi huu ndo utawabakisha nafasi ya 3 milele...!! Anyway, tumewalipia kisasi cha magoli manne mliyopigwa na Kaizer Chiefs.
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 33,643 Reaction score 36,090 Jul 30, 2024 #44 FRESHMAN said: Wydad mwaka huu amechoka. Ameshindwa hata ku qualify kucheza champions league. Pia hata kwenye caf champions league wydad aliishia hatua ya makundi. Wydad amechoka maana sio kawaida yake kushindwa ku qualify champions league ama kutolewa makundi Click to expand... Na jimba naye kachoka, maana hayupo kwenye ligi ya mabingwa
FRESHMAN said: Wydad mwaka huu amechoka. Ameshindwa hata ku qualify kucheza champions league. Pia hata kwenye caf champions league wydad aliishia hatua ya makundi. Wydad amechoka maana sio kawaida yake kushindwa ku qualify champions league ama kutolewa makundi Click to expand... Na jimba naye kachoka, maana hayupo kwenye ligi ya mabingwa
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Jul 30, 2024 #45 Azam hawavumi lakini wamo
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 67,252 Reaction score 168,563 Jul 30, 2024 #46 Yapigwa koki kama Kaizer chiez ilivyopigwa koki na wanaume Bora Azam walipata kamoko ka kufutia machozi Cc Smart911
Yapigwa koki kama Kaizer chiez ilivyopigwa koki na wanaume Bora Azam walipata kamoko ka kufutia machozi Cc Smart911