Azam Fc yamshtaki "refa wa Yanga" kwa Bodi ya Ligi

Sisi tunajua Azam ni Mikia FC B ndiyo maana simba anaweza kufunga ha magoli ya kuotea Azam atakausha Hivi inaingia akili kwa Azam kubomoa timu yake kwa kuwatoa wachezaji muhimu kwenda simba akina Kapombe Nyoni Bocci Manula nk
 
Inawauma Nyoni tuliwazidi hesabu mlishaongea naye
 
imeshindwa lalamika wachezaji wake kucheza ki bwege mechi juzi ama droo na vipigo mfululizo inaenda lalamika ki bwege bwege

Inazidiwa na Namungo licha ya kufungwa na offside ya ajabu duniani haikuandika barua kulia lia ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…